The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hujapata mjua Faiza aisee,ni dem mzuri kinyama sema age inasogea sogea
Hii batle naisubir kwa hamuNikifa MkeWangu Asiolewe ukifa mkeo tutamuoa tu.
HajahajajajajajaNikifa MkeWangu Asiolewe ukifa mkeo tutamuoa tu.
Anajitanda tu kichwani na ushungi Mara kadhaa kadhaa..Hahaah
Hivi anavaaga ushungi au ni mbwe mbwe tu
KudadadekiAndazi
mshamba_255 mshamba_mwingine
mshamba_mwingine
PSL god
Naomba wingi wa sentensi hii "Kaka Yangu ana Mke"
Nipe hela kwanza, njaa inauma🤣🤣🤣
Nipeleke pesa kwenye pesa😂😂😂😂Nipe hela kwanza, njaa inauma🤣🤣🤣
Lete pesa bwana we!Nipeleke pesa kwenye pesa😂😂😂😂