Mujibu wa Kanuni: Mayele anachukua Tuzo Mfungaji Bora

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Kwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.

Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.

Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji

KUGAWANA HII TUZO NI SIASA
SHERIA NA KANUNI ZA LIGI ZIFUATWE


 
Kwa jinsi TFF walivyo watataka kubalance mzani. Tegemea wote Mayele na Saidoo kupewa viatu
 
Iwapo magoli ya penati yakiondelewa kwa Saidou, maana yake hata magoli ya Simba pia yataondolewa na kuwa magoli machache tofauti na yale tunayoyajua.

Vv
 
[emoji23][emoji23][emoji23]doh nikadhani source ni credible [emoji848]
 
Takwimu hazisemi uongo,Ntibazokiza ametisha.
Mayele atapewa kwa sababu ya siasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…