Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajisumbua ujinga.Kwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
View attachment 2651493
Mbona unahangaika Sana.Kwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
View attachment 2651493
Makolokolo yameshaanza kukutukana badala ya kujikita kwenye hoja [emoji28]Kwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
View attachment 2651493
Wewe ni hohehahe wa akiliKwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
View attachment 2651493
Kwa jinsi TFF walivyo watataka kubalance mzani. Tegemea wote Mayele na Saidoo kupewa viatuKwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
KUGAWANA HII TUZO NI SIASA
SHERIA NA KANUNI ZA LIGI ZIFUATWE
View attachment 2651493
Iwapo magoli ya penati yakiondelewa kwa Saidou, maana yake hata magoli ya Simba pia yataondolewa na kuwa magoli machache tofauti na yale tunayoyajua.Kwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
KUGAWANA HII TUZO NI SIASA
SHERIA NA KANUNI ZA LIGI ZIFUATWE
View attachment 2651493
Nikukumbushe tu! Ndiye mfungaji bora upade uleeee.Nyie utopwozo..mayele wenu hakuna kitu...kaanza kwa mbwembwe kaishia na sare
Angalia misimu ya juzi kati waligawana.Hapo Hamna kugawana,
Labda walete siasa, zinaangaliwa penalty
Wewe umeambiwa uweke dau kule kwa uzi wako u umekimbia [emoji23][emoji23]Dunduka fans wanagoma kuamini kauli hii
[emoji23][emoji23][emoji23]doh nikadhani source ni credible [emoji848]Kwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
KUGAWANA HII TUZO NI SIASA
SHERIA NA KANUNI ZA LIGI ZIFUATWE
View attachment 2651493
Takwimu hazisemi uongo,Ntibazokiza ametisha.Kwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
KUGAWANA HII TUZO NI SIASA
SHERIA NA KANUNI ZA LIGI ZIFUATWE
View attachment 2651493
Kula na hii chuma.[emoji23][emoji23][emoji23]doh nikadhani source ni credible [emoji848]