Mujibu wa Kanuni: Mayele anachukua Tuzo Mfungaji Bora

Kanuni hiyo ya magoli ya penati kuwa na nguvu kidogo mmeitoa wapi? Yanga ushamba unawasumbua.

Goli ni goli tu hakuna goli kubwa au dogo.

Ni kanuni zenu na Manara hizo.
 
Kanuni hiyo ya magoli ya penati kuwa na nguvu kidogo mmeitoa wapi? Yanga ushamba unawasumbua.

Goli ni goli tu hakuna goli kubwa au dogo.

Ni kanuni zenu na Manara hizo.
Ficha ujinga kwa ku google experience ya misimu iliyopita.
 
Huyo anaesema yeye hana magoli ya penati kuna mtu alimwambia awe anapaisha mipira akipewa kupiga penati?

Kuna magoli yamewapa Yanga ushindi mf. Geita vs Yanga huko mwanza . Je , yafutwe kwakuwa magoli ya penati hayana uzito na Yanga anyang'anywe point?

Mi nafikiri kila goli lina umuhimu bila kujali nila penati au siyo la penati. Hivyo Mayele na Saido wagawane zawadi ya mfungaji bora.

NB ; Hiyo kanuni ya penati niya musimu wa mwaka 2021/2022 tu na wala siyo vinginevyo. Hakuna sehemu inasema itaanza 2021 / 2022 na itaendelea kutumika kila musimu wa ligi.
 
Jitulize utopolo. 1.assist
2.magoli ya penati
 
Naona unajitungia kanuni zako.

Uto Hanna maarifa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…