adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Na huyu je ? Kula chuma hiyo..Mtu anaitwa chukuchuku atakua na akili huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyu je ? Kula chuma hiyo..Mtu anaitwa chukuchuku atakua na akili huyo
Ficha ujinga kwa ku google experience ya misimu iliyopita.Kanuni hiyo ya magoli ya penati kuwa na nguvu kidogo mmeitoa wapi? Yanga ushamba unawasumbua.
Goli ni goli tu hakuna goli kubwa au dogo.
Ni kanuni zenu na Manara hizo.
Mpira wa miguu unaongozwa na kanuni. Cha msingi tuwekee hiyo kanuni hapa.Ficha ujinga kwa ku google experience ya misimu iliyopita.
Rejea video hapo juu.Mpira wa miguu unaongozwa na kanuni. Cha msingi tuwekee hiyo kanuni hapa.
[emoji16]Tunatoa magoli ya penalties.......target us MO ni kiatu ? 5bil investment kupambania kiatuu
FIFA ipi?Sheria ya FIFA ndio katiba na mashirikisho yanatakiwa kuifuata. Peeiod
mayeleeeeeeeeKwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
KUGAWANA HII TUZO NI SIASA
SHERIA NA KANUNI ZA LIGI ZIFUATWE
View attachment 2651493
Nimekuuliza unitajie kanuni wewe unaleta ujinga hapa. Tunajadiliana kama GT Leta kanuni inayosema goli la penati ni dogo na linathamani ndogo kulinganisha na magoli mengine.
Mzee nimekuuliza hiyo ni kanuni namba ngapi nikaisome? Kanuni zote za FIFA, CAF na TFF zipo online. Nitajie unachodai ni kanuni no ngapi?
Nimekutafunia kabisa hapa maana vilaza kama wewe huwa hawana muda wa kutafuta maarifa, wanaendeshwa na mihemko.Mzee nimekuuliza hiyo ni kanuni namba ngapi nikaisome? Kanuni zote za FIFA, CAF na TFF zipo online. Nitajie unachodai ni kanuni no ngapi?
Jitulize utopolo. 1.assistKwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
KUGAWANA HII TUZO NI SIASA
SHERIA NA KANUNI ZA LIGI ZIFUATWE
View attachment 2651493
Naona unajitungia kanuni zako.Kwa mujibu wa kanuni
kwenye sheria ya bodi ya ligi.
Endapo wawili watafungana,
Yanaondolewa magoli ya penati.
Ikiwa sawa sawa,
Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji
KUGAWANA HII TUZO NI SIASA
SHERIA NA KANUNI ZA LIGI ZIFUATWE
View attachment 2651493
Wewe zako zinasemaje bata...Akili kama hizi ndio zinatumwa kujadili mkataba wa Bandari na mwarabu
Hamna utopolo Kama huo, Assist inahusikaje kwenye magoli?, Kwahiyo penati sio gori?. Kanunu za kipuuzi hizi wapeleke kwa wake zao.