Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Yaelekea kilio cha katiba mpya sasa kimeshika kasi na hakuna wa kukizima....................
Mijadala inakoelekea, JK atajikuta yuko peke yake, hata Werema atabatilisha kauli yake ya awali!Mara chache sana huwa tunapata taarifa za kujenga na zisizo za kishabiki kutoka gazeti la Uhuru na hii ya leo ni moja ya hizo.........................
Gazeti la Uhuru linatuhabarisha ya kuwa Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mlimani Profesa Mukandala amemshauri JK akubaliane na mabadiliko ya Katiba akisema hivi sasa ni wakati mwafaka kuibadili katiba iliyopo...................
What am seeing is, they will make it a CCM agenda! And hijack the original thought ..on a lighter touch, Malariasugu has done his tafiti and has interesting conclusions
Even if they hijack the agenda, this time, within CCM there is no common agreement. They are no longer united - they have fallen apart
Hoja za LAT na Bi Nsiande wanazungumzia uwezekano wa CCJ sorry CCM kuiteka agenda ya Katiba ili ionekane ni wazo lao. Kuna usemi unasema 'aliyeaga na aliyetoroka wote hawapo'. Kinachotafutwa hapa ni katiba ambayo wananchi (ndani ya wananchi hao ikiwemo CDM) wanaitaka. Kama CCM wataiteka wa initiate wao na iwe sawa sawa na matakwa ya wananchi, mimi sioni tatizo. Sorry nimeitwa na boss!
thanks .... but do you believe that CCM run by bigshots and financial oligarchies like RA and EL will pave way for a constitution that best owed the reality and ambitions of our sodomized country.... our natives need something palatable .....
mkuu... kwa hiyo CCM walikua wapi siku zote....... what sisiem want here is to make foolish history and become selfish heroes .... nimemaliza
Nimerudi Mkuu. Nashukuru kwa ruhusa yako na mchango wako. Hawawezi kufuta hiyo notion iliyo kwenye red mkuu kwani tayari imeshakuwa na wide coverage. Watu ambao nina wasiwasi nao CUF, kwa kweli style yao siielewielewi!Polisi unamkwara!eti nimeitwa na bossi,kova au? Mi ndo boss wako aya nenda uendelee na mjadala nimekuruhusu! Teh teh teh nakutania mkuu,ila uko sahihi katiba mpya iletwe na mtu yeyote hali mradi iwe na utaratibu sahihi. Hapa tatizo ccm inaogopa neno la dr.Slaa,ntawapa katiba mpya! Sasa wanadhani watadhalilika kwa kutii ukweli wa kampeni za mh.slaa! Leo asubuhi kada wa ccm ktk habari kaomba ccm itamke haraka ili hoja isionekane ni ya chadema pekee! Ni woga tu hata wao wanaitaka ila njia ya kuanzisha ndo inawagwaya!
We are in the same pond but in a different pool LAT. There is a saying " you cross the bridge when you come to it". Maadam wamekubali, tusubiri tuone wanaleta utaratibu upi. Maana sasa hivi tumeona kijana wetu Mnyika amewasilisha rasmu. Mimi sijaiona. Je ndo hiyo ambayo mimi na wewe tunataka iwe. Wanasiasa wana tabia ya 'kubeep' ili waone umma utaitikiaje. hivi ni kweli kwa akili yako ndugu unaweza kuamini mhe pinda alipozungumza na wahariri kwamba atamshauri rais hakuwa ametumwa? Huko ndiyo kubeep. Sasa dawa ni kukaa kimya hadi utakapoona walichoahidi kimeletwa ndo tuseme kwamba si hicho tunataka hiki. Naheshimu mchango wako na hofu ya mapacha RA na EL kutia mkono wao siondoi uwezekano.
sawa kabisa mkuu. Na eneo kubwa ambalo mimi naliona ni kwenye uteuzi wa viongozi. Watalaam wetu waweke nguvu nyingi hapo. Maana ndilo eneo wanaolitumia hao akina azizi kuweka viongozi wabovu ambao wanashindwa kuzitumia vizuri rasilimali zetu. Mfano mzuri ni bandarini. Mkuu pale pakiwekezwa vizuri hela nyingi sana itapatikanacorporal nashukuru.... drastically i can not deny that we are sailing on the same boat..!!!! but when the storm hit on the sea..... please lets unite and rescue our boat.... EL and RA are the biggest Tsunami i have ever come across ..., what disaster they bring into our country that affect our native citizens daily life.....if i was God ..... i thou... would give a life exile and send Mr. EL and RA to the very core centre of the earth that contains lava and magma
sawa kabisa mkuu. Na eneo kubwa ambalo mimi naliona ni kwenye uteuzi wa viongozi. Watalaam wetu waweke nguvu nyingi hapo. Maana ndilo eneo wanaolitumia hao akina azizi kuweka viongozi wabovu ambao wanashindwa kuzitumia vizuri rasilimali zetu. Mfano mzuri ni bandarini. Mkuu pale pakiwekezwa vizuri hela nyingi sana itapatikana