Muke ya Muzungu ndio anatuambia cha kufanya

Na wewe uliyeolewa na Abdul, una faida gani zaidi ya hii ya kuua hovyo vijana wetu wasio na hatia?
 
Stroke ya ubongo sasa inaenda kukumaliza bibie..si kwa mashudu haya we demu.
 
Umejaribu kwenda kwenye hotel kubwa kubwa masaki kule ukakosa kabisa danga la kizungu mkuu?? Ukicheza karata zako vizuri na wewe utakuwa mke ya mzungu sio muda changamka
Huyu ni mtaalam wa kutafutia wenzake wazungu.

Kuna ile blog yake , inaitwa bongolicious alikuwa anawapa darasa na mnamsikiliza .

Sasa naona wateja wake mmehamia kwenye siasa mnataka kutuvurugia amani yetu.
 
Ndio anatuma policcm kuteka na kuua raia au yeye ndio alimuua Ali kibao?
 
Weeeee!! Usiniambie pamoja na kumsikiliza kote kwenye blog still hujapata mzungu.....basi utakuwa na shida mahali shosti 😔😔😔😔😔
Huyu ni mtaalam wa kutafutia wenzake wazungu.

Kuna ile blog yake , inaitwa bongolicious alikuwa anawapa darasa na mnamsikiliza .

Sasa naona wateja wake mmehamia kwenye siasa mnataka kutuvurugia amani yetu.
 
Kina mdude,Kibao, soka,polepole,Lisu etc na wote waliotekwa, kupewa kesi fake, kuuliwa na kupotezwa ni kwa sababu wanamsikiliza huyo dada, unajiona una akili kumbe matako wazi tuu
 
Kina mdude,Kibao, soka,polepole,Lisu etc na wote waliotekwa, kupewa kesi fake, kuuliwa na kupotezwa ni kwa sababu wanamsikiliza huyo dada, unajiona una akili kumbe matako wazi tuu
Sasa mmeshajua ni mtu wa aina gani anayewaendesha akili.
 
Hakuwatuma mteke na kuua wananchi
 
Un
Ataka.uam iwe na nani? Mwingulu Machemba?
 
Unamuonea wivu mwenzio kukazwa na mzungu wakati wewe una tobo liko wazi halina marinda si na wewe tafuta hata mchina
 
Tuliza tako mwanasheria mkuu kilaza zaidi kuwahi kutokea Tanganyika Kasema atamkamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…