Mukhisa Kituyi steps down from Unctad, eyes 2022 presidential race

Mzee umewahi kuishi Kenya? Ni swali tu.
hapana very briefly ila politics zenu zinafanya mtu atake kujua kiini cha animosity! Zina element mbaya sana ya kutochagua performance bali ethnicity! Yaani ni rahisi Kenya mtu kuiba say $1bln na ku-hold the country in ransom incase of a lawsuit kama tu ana-resort to his tribal kins na ku-instigate them to sabotage GoK in his support! Ofcourse ukiwa from the major tribes!
 
Lakini deep down atakuwa anapenda Kenya whether he knows it or not. Unajua huwezi kushinda ukifuatilia nchi ambayo unaichukia. Utafuatilia tu nchi ambayo unaipenda. For example wewe unajua Minister wa information wa North Korea anaitwa nani? Hujui. Kwa nini? Coz you don't give a rat's ass about North Korea. So juu yeye anajua so much about us itakuwa kwamba anatupenda hata kama he is not aware of it.

Cc Geza Ulole
The most interesting thing, ukimuona akicriticize Kenya, anaclaim eti it is constructive critism, utadhani nchi yao inajielewa sana. Ukiona akikashifu Wakenya kwa kuchagua viongozi, utadhani nchi yao wanajua kuchagua viongozi objectively yet licha ya kuwa na resources more than double the rest of EAC combined, wana uchumi ndogo kutuliko. Hutampata hata siku moja akikashifu Tanzania inavyoendeshwa kidikteta na kukosa uhuru wa kujieleza.

Hatakuambia Watanzania wenyewe ha wajui kinachoendelea Tanzania kabisa. Kama ushawai tembea Tanzania, utawapata kila siku wanaongelea ukabila Kenya yet kwao kuna mengi tu ila hawajui kinachoendelea kwao wenyewe. Their previous election was an open farce yet hutamuona akicriticize - anangoja mwanasiasa mmoja wa Kenya amtetea mwengine ndio aanze kufungua mathread ukabila this ukabila that. Mtiaji sana huyu msee.
 
Lakini deep down atakuwa anapenda Kenya whether he knows it or not. Unajua huwezi kushinda ukifuatilia nchi ambayo unaichukia. Utafuatilia tu nchi ambayo unaipenda. For example wewe unajua Minister wa information wa North Korea anaitwa nani? Hujui. Kwa nini? Coz you don't give a rat's ass about North Korea. So juu yeye anajua so much about us itakuwa kwamba anatupenda hata kama he is not aware of it.

Cc Geza Ulole
unalazimisha mi kuipenda Kenya haya naipenda maana siichukii nchi yeyote, happy?

You're really deep into Kenyan politics bruh. Hadi unajua Nani aliangusha Nani? 🤣🤣
This is East Africa, brother, tumetenganishwa iliyowekwa na mipaka ya wakoloni lakini sisi ni wamoja. Ndiyo maana hata wewe upo Jamii Forums...
 
Ila msee hajielimishi kuhusu Kenya na Nia nzuri. Anajielimisha ili aiponde Kenya. Huo sii undugu.
 
Hakuna kitu hatari kama maku. Ilizingua hata akina Samson na Adam wa bibilia. Weakness ya mwanaume huwa hiyo kitu. Akiiona anachizi.
 
MY TAKE
Kimeumana...jamaa kaacha kazi UNCTAD na saahii hataweza kurudi!

Politics is all about drama... Kama kulikua na mtu ambae hamtambui sahii anamjua... If this guy owns his video na ajitokeze hadharani bila aibu... Au aombe msamaha na kesho yake aonekane ako busy anaendelea na shuhuli nyingine... People will still accept him, he might even gain new followers... This is not some developed democracy country where a sex tape is the end of you... If we elected a known drunkard as president, and a guy who used to punch walls (mike sonko) as governor, and another one who stole millions from NYS (Ann waiguru) also as governor , surely, what is a sex tape between two consenting adults? That's nothing!! This guy ran UNCTAD like a boss, that is better qualification than Uhuru before he got elected.
 
naskia ali-attract 5 mln supporters! akawa threat kwa establishment! The thing is he has been locked out kila corner hata hawezi rudi UN tena! halafu ni kama kaleweshwa hajitambui!
 
Mi natamani hii strategy ibackfire na jamaa azidi kujulikana na hata wale walikua hawamjui.
 
Of course atapata notoriety. Wakenya wanapenda drama. Angalia watu wanaochaguliwa na Wakenya akina Babu Owino (alipiga mtu risasi karibu kuua) Ferdinand Waititu anarusha mawe, Mike Sonko amabaye ni wazimu. So this guy is in good company. Even Uhuru and Ruto went to ICC. It seems one condition necessary to be a Kenyan leader is that one has to be immoral.
 
Exactly! Kuna watu walikosa Kura na technically hao ndo walikua better candidates... Akina Peter keneth, Martha Karua... It seems for you to be accepted you have to be famous for all the wrong reasons ... Which is both funny and sad at the same time. The Doctor should just come out and speak his truth (cause we also know how to spot bullsh!t) akiongea ukweli atakubalika na makosa/mapungufu yake.
 
Back
Top Bottom