Achana na post za huyo kalia tako moko.Baada ya kuzagaa tetesi za chama kutimkia jangwani, upande wa pili napo kuna tetesi za kiungo mkabaji wa timu ya wananchi Mukoko Tonombe "ticha" kuhamia Unyamani dirisha dogo Dceember 15.
Hii imekuja baada ya post ya Haji Manara, Afisa Habari wa SSC katika kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Mkuu wewe ni mtu wa mpira kweli. Ila inasemekana hao huyo mkongo yuko kwa mkopo. Simba wameenda AS VITA kumalizana nao. Bado napekecha nipate ukweli ila.so far ndio tetesi zilizopo.Kwa hesabu ya kawaida kabisa,Yanga kwa wachezaji wa muda ambao inaweza kutikisika ikiwakosa Ni Feisal,na Lamine ambao wote wanna mikataba ya miaka 2+,hivyo hawawezi kuwachukua.
kwa kuwa wachezaji wengi wanaosifiwa yanga wamesajiliwa dirisha la august then tuseme kila mchezaji mpya kapewa miezi 6 tu hapo maana yake mkataba utaisha February.
Kwahiyo Kama Simba wakitaka kuchukua mchezaji wa kueleweka Yanga,maana yake ni mpaka wamnunue kitu ambacho kwa timu hizi Ni nadra Sana.Hii ni propaganda,labda Kama kuna mchezaji kapewa miezi mi4.
Haukumuamini kuhusu Morrison, matokeo yake ulishinda ofisi za TFF siku tatu kusubiri hukumuHivi kuna watu wenye timamu wa kumuamini manara?
Si mlitangaza kuwa chama ana mkataba wa miaka 2 na kuvunja ni billion 2... sasa CEO wenu anafanya mazungumzo ya mkataba gani... nani anaona aibuKitengo cha propaganda cha yanga kipo vizuri sana ....
Wanamtumia mwamba sana kuficha aibu
Mimi naingiajee kwenye kumtangazaSi mlitangaza kuwa chama ana mkataba wa miaka 2 na kuvunja ni billion 2... sasa CEO wenu anafanya mazungumzo ya mkataba gani... nani anaona aibu
sijuiMimi naingiajee kwenye kumtangaza