Mukoko Tonombe kutua Simba?

Mukoko Tonombe kutua Simba?

Chungulia hapa
Screenshot_20201112-191029.jpeg
Screenshot_20201112-190938.jpeg
 
Kwa hesabu ya kawaida kabisa,Yanga kwa wachezaji wa muda ambao inaweza kutikisika ikiwakosa Ni Feisal,na Lamine ambao wote wanna mikataba ya miaka 2+,hivyo hawawezi kuwachukua.

kwa kuwa wachezaji wengi wanaosifiwa yanga wamesajiliwa dirisha la august then tuseme kila mchezaji mpya kapewa miezi 6 tu hapo maana yake mkataba utaisha February.

Kwahiyo Kama Simba wakitaka kuchukua mchezaji wa kueleweka Yanga,maana yake ni mpaka wamnunue kitu ambacho kwa timu hizi Ni nadra Sana.Hii ni propaganda,labda Kama kuna mchezaji kapewa miezi mi4.
Tatzo la yanga si wa kweli kama ilivyotokea kwa morrison na shishimbi
 
Baada ya kuzagaa tetesi za chama kutimkia jangwani, upande wa pili napo kuna tetesi za kiungo mkabaji wa timu ya wananchi Mukoko Tonombe "ticha" kuhamia Unyamani dirisha dogo Dceember 15.

Hii imekuja baada ya post ya Haji Manara, Afisa Habari wa SSC katika kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Yaani Simba Yanga kumgusa Chama wanalalamika,huu mpira ni biashara inawezeka Simba mkawa mmebugi kwenye mkataba kama Yanga walivyo bugi kwa Morrison ,waka tumia udhaifu wenu kumpata Chama ila kwa habari za ndani kabisa kuna asilimia kubwa Chama akatua Yanga,ila hili la Mukoko kwa mujibu wa mtu mmoja wa karibu wa Simba ni uongo.
 
Kwa nini la chama na yanga liwe kweli na la simba na mukoko lisiwe kweli?
 
Huyu jamaa nilimuona mpuuzi alivyokuwa akimlaumu Kondeboy na Chama eti wamecheza vibaya,ndipo nikamuona hajui mpira,wakubali Yanga wamebadilika upande wa Defense na Kati wapo vizuri ila forward hawana.Kama wangekuwa na Forward ile mechi Yanga wangepata goli tatu .
Ndio hawakupata sasa hizo goli tatu...
Hans pope ni psychologist pia, anajua kusoma na kucheza na akili za watu na kutumia fursa hiyo watu wakiwa ktk mhadaiko, bila shaka hapa hata wewe ni muathirika wa kuongizwa cha kike na ans pope siku alipotoa hiyo kauli mpaka leo
 
Ile Lugha ya kimchezo kabisa,kama kiongozi ukihisi kuna matatizo mnamaliza ndani kwa ndani lugha aliyoitumia inawavunja moyo wachezaji.

Zama zimebadilika Yanga ya jana na ya leo ni tofauti.
 
Back
Top Bottom