balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mbbumbu pumbu bado wanamuaminNaona hizi ni propaganda, ila kuna mmoja lazima aumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbbumbu pumbu bado wanamuaminNaona hizi ni propaganda, ila kuna mmoja lazima aumie
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo viongozi wa mbumbumbu fc walienda kambini kwa YANGA kumsainisha auKasaini leo asubuhi makubaliano ya awali na kapewa kishika uchumba. Mktaba wake na Yanga unaisha 14/12/2020 na 15/12/2020 atasaini 2 years Simba. Za jikoni kabisa. Utopolo hoyee.
Tatzo la yanga si wa kweli kama ilivyotokea kwa morrison na shishimbiKwa hesabu ya kawaida kabisa,Yanga kwa wachezaji wa muda ambao inaweza kutikisika ikiwakosa Ni Feisal,na Lamine ambao wote wanna mikataba ya miaka 2+,hivyo hawawezi kuwachukua.
kwa kuwa wachezaji wengi wanaosifiwa yanga wamesajiliwa dirisha la august then tuseme kila mchezaji mpya kapewa miezi 6 tu hapo maana yake mkataba utaisha February.
Kwahiyo Kama Simba wakitaka kuchukua mchezaji wa kueleweka Yanga,maana yake ni mpaka wamnunue kitu ambacho kwa timu hizi Ni nadra Sana.Hii ni propaganda,labda Kama kuna mchezaji kapewa miezi mi4.
Na lamineTatzo la yanga si wa kweli kama ilivyotokea kwa morrison na shishimbi
Soma lugha ya picha, mie sijasema kituKwahiyo?
Yaani Simba Yanga kumgusa Chama wanalalamika,huu mpira ni biashara inawezeka Simba mkawa mmebugi kwenye mkataba kama Yanga walivyo bugi kwa Morrison ,waka tumia udhaifu wenu kumpata Chama ila kwa habari za ndani kabisa kuna asilimia kubwa Chama akatua Yanga,ila hili la Mukoko kwa mujibu wa mtu mmoja wa karibu wa Simba ni uongo.Baada ya kuzagaa tetesi za chama kutimkia jangwani, upande wa pili napo kuna tetesi za kiungo mkabaji wa timu ya wananchi Mukoko Tonombe "ticha" kuhamia Unyamani dirisha dogo Dceember 15.
Hii imekuja baada ya post ya Haji Manara, Afisa Habari wa SSC katika kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Huyu jamaa nilimuona mpuuzi alivyokuwa akimlaumu Kondeboy na Chama eti wamecheza vibaya,ndipo nikamuona hajui mpira,wakubali Yanga wamebadilika upande wa Defense na Kati wapo vizuri ila forward hawana.Kama wangekuwa na Forward ile mechi Yanga wangepata goli tatu .
Kwa nini la chama na yanga liwe kweli na la simba na mukoko lisiwe kweli?Yaani Simba Yanga kumgusa Chama wanalalamika,huu mpira ni biashara inawezeka Simba mkawa mmebugi kwenye mkataba kama Yanga walivyo bugi kwa Morrison ,waka tumia udhaifu wenu kumpata Chama ila kwa habari za ndani kabisa kuna asilimia kubwa Chama akatua Yanga,ila hili la Mukoko kwa mujibu wa mtu mmoja wa karibu wa Simba ni uongo.
Ndio hawakupata sasa hizo goli tatu...Huyu jamaa nilimuona mpuuzi alivyokuwa akimlaumu Kondeboy na Chama eti wamecheza vibaya,ndipo nikamuona hajui mpira,wakubali Yanga wamebadilika upande wa Defense na Kati wapo vizuri ila forward hawana.Kama wangekuwa na Forward ile mechi Yanga wangepata goli tatu .
Ile Lugha ya kimchezo kabisa,kama kiongozi ukihisi kuna matatizo mnamaliza ndani kwa ndani lugha aliyoitumia inawavunja moyo wachezaji.Ndio hawakupata sasa hizo goli tatu...
Hans pope ni psychologist pia, anajua kusoma na kucheza na akili za watu na kutumia fursa hiyo watu wakiwa ktk mhadaiko, bila shaka hapa hata wewe ni muathirika wa kuongizwa cha kike na ans pope siku alipotoa hiyo kauli mpaka leo
Just wait hata la Morison yy alikuwa wa kwanza kuniambia hata kabla ya mechi ya nusu fainali,nilibisha lkn mwisho wa siku ikawa kweli lkn ngoja tusubiri ila mimi nina 70% hili la Chama linaweza likawa kweli.Kwa nini la chama na yanga liwe kweli na la simba na mukoko lisiwe kweli?