Mukoko Tonombe kutua Simba?

Mikia

Mikia fc mnapata tabu sana kipind hki
 
Chama keshaongea na gazeti pendwa la upotolo mwanaspoti kuwa asilimia 80 anasaini Simba na mazungumzo yanaenda vizuri iwapo itashindikana hatasaini mkataba na timu yoyote ya Tanzania hii ni kutokana na heshima aliyopewa na wanasimba na vitu alivyopata simba hajawahi kupata sehemu yoyote.
Pia amezungumzia jinsi upotolo walivyomshawishi alipoenda Zambia kupitia wakala mmoja aliyeahidiwa donge nono. Alipiga video call ili Chama aongee na kiongozi wa yanga ambao walimhaidi dola laki mbili sawa na milioni 460 lakini aliwakatalia.
Hayo ninmahojiano aliyofanya na mwanaspoti.
 
Just wait hata la Morison yy alikuwa wa kwanza kuniambia hata kabla ya mechi ya nusu fainali,nilibisha lkn mwisho wa siku ikawa kweli lkn ngoja tusubiri ila mimi nina 70% hili la Chama linaweza likawa kweli.
Hili la Morrison hata mimi nilidokezwa miezi kadhaa kwanza hata kabla Yanga hajapigwa zile 4.

Jamaa walimnunulia vifaa vya mazoezi kutoka SA n.k

Simba wanahitaji utulivu mkubwa ktk hili. Lile sakata la kumsajili Morrison kiholela kufika kule CAF nilijua kabisa hapa kuna mapatano ni lazima yafanyike kwa hizi club mbili.

Sikiliza kwa makini Hotuba ya Rais mstaafu JK siku ya wananchi, mwanzo alisema kuwa anategemea Yanga hivi karibuni nao wataiba, akaeleza kuwa Yanga waachane na Morisson kwa wao kubeba mchezaji mwingine ndani ya Simba.

Zilikuwa ni kauli kama za Mzaha hivi ila tangu ile siku nilijua kabisa kuna vilio vitaelekea Msimbazi.
 
Kasaini leo asubuhi makubaliano ya awali na kapewa kishika uchumba. Mktaba wake na Yanga unaisha 14/12/2020 na 15/12/2020 atasaini 2 years Simba. Za jikoni kabisa. Utopolo hoyee.
Inamaana alisaini Yanga mkataba wa miezi minne!?
Akili za kimanara hizo
 
"kwa mujibu wa mtu mmoja wa karibu wa Simba ni uongo."

MTU WA KARIBU WA SIMBA NDIYO MTU GANI? NA SIMBA NI NINI?
 
"kwa mujibu wa mtu mmoja wa karibu wa Simba ni uongo."

MTU WA KARIBU WA SIMBA NDIYO MTU GANI? NA SIMBA NI NINI?
Namuamini sababu mtu huyo huyo mmoja ndiye aliyenipa habari za Morrison mapema kabisa kabla ya ile mechi ya Yanga aliyopigwa nne.

Sikulazimishi ukubali ila nahisi linaweza likatokea,sababu hata hizi kelele wanazopiga Manara na Hanspope zina reflect kuna kitu hakijakaa sawa kati ya Chama na Simba.Sababu kama mchezaji angekuwa na mkataba,sizani kama kungekuwa na kelele hizi mara sijui anatufanyia hujuma,natembea na rungu kuwapiga wasaliti,kacheza chini ya kiwango,ule sio uchezaji wake.
 
,, [emoji23][emoji23]meneja wa teacher mkoko mbumbumbu fc mna mambo[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…