Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Yes,Neno MIHEMKO ndio defensive mechanism yako? 🤣
asie na hoja mara zote hutumia mihemko, ghadhabu na makasiriko kujaribu kubwekabweka maneno mbofu mbofu kujaribu kuhitimisha mjadala 🐒

The role of religion in human history is complex and multifaceted, often serving as both a tool for subjugation and a force for liberation, depending on context, interpretation, and power structures. In other words, religions are not monolithic—they can be tools of control or resistance depending on who wields them and how. Oftentimes, the same religion has been used for both purposes in different eras.Katika baadhi ya mataifa, makanisa, misikiti, na nyumba nyingine za ibada zilichukua nafasi muhimu katika kupigania uhuru na haki, kwa kutoa uongozi na kuhamasisha umoja wa kitaifa, na kusimama dhidi ya dhuluma zinazofanywa na watawala mbalimbali.
Hapa chini ni muktasari wa nchi saba ambazo zilikomboa mataifa yao kwa msaada wa taasisi za kidini:
1. Poland
Kanisa Katoliki
Kanisa liliongoza upinzani dhidi ya utawala wa kikomunisti, likisaidia vuguvugu la sauti ya wengi na Uongozi wa Papa John Paul II uliwapa watu ujasiri wa kudai uhuru wao wa kisiasa na za usawa kwenye chaguzi.
2. Sudan Kusini
Makanisa ya Kikristo
Makanisa yalikuwa mstari wa mbele katika kusaidia waathirika wa vita, kueneza ujumbe wa matumaini, na kushinikiza jamii ya kimataifa kuunga mkono uhuru wa Sudan Kusini kutoka Kaskazini mwaka 2011.
3. Haiti
Makanisa ya Kikristo na ibada za Vodou
Wakati wa mapinduzi dhidi ya ukoloni wa Ufaransa, dini ilitumika kama chombo cha kuhamasisha wananchi kushikamana, wakiongozwa na viongozi wa kidini waliounganisha imani na mapambano.
4. India
Mahekalu ya Kihindu, Misikiti, Makanisa
Viongozi wa kidini walisaidia kuhamasisha watu kupitia mafundisho ya amani, umoja, na upinzani wa kutotumia nguvu.
Mahatma Gandhi aliongoza vuguvugu la ukombozi kwa misingi ya maadili ya dini.
5. Iran
Misikiti ya Kishia
Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 yaliunganishwa na imani ya kidini, ambapo misikiti ilitumika kama vituo vya harakati na viongozi wa kidini waliongoza mapambano dhidi ya utawala wa kifalme wa Shah.
6. Afrika Kusini
Makanisa
Viongozi wa dini kama Askofu Desmond Tutu waliongoza harakati za kupinga ubaguzi wa rangi (apartheid), wakitumia mimbari za makanisa kama majukwaa ya kupaza sauti dhidi ya dhuluma na ikaleta matokeo chanya.
7. Algeria
Misikiti
Wakati wa mapambano dhidi ya ukoloni wa Ufaransa, Uislamu ulikuwa chanzo cha mshikamano na misikiti ilitumika kueneza ujumbe wa ukombozi, huku viongozi wa kidini wakihamasisha mapambano ya kitaifa kupitia mimbari za misikiti . Hii ilipelekea watu kuingia mtaan na kumtoa Mfaransa. Uhuru wa kisiasa hauombwi…It is demanded….. NIPEE.
Kupitia DEMAND, ndio kunakuwa na heshima kati ya watawala na watawaliwa….lakini pia kunakuwa na heshima kati ya vyama na vyama. Bila kuheshimiana kisiasa… hatutotoboa kama Taifa…tutaendelea kuona MINORITY wakila mema ya nchi na kunenepeana thinking they are SMART than others
As a COUNTRY, we must stand up and demand our political Freedom
It is now or NEVER … 👎
Mwisho, ukimsikia mtu anasema viongozi wa dini msiingie kwenye SIASA …, jua huyo ni mtu mpumbavu asiyekuwa na akili au ni befeneficiary wa mfumo dhalimu. Full stop 🛑
Dr Megalodon Mushi. PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Hakuna mwenye ghadhabu dogo. Sikushauri utumie neno mihemko unless wewe ni she .Yes,
asie na hoja mara zote hutumia mihemko, ghadhabu na makasiriko kujaribu kubwekabweka maneno mbofu mbofu kujaribu kuhitimisha mjadala 🐒
PhD fellow halafu unaandika ujinga.Katika baadhi ya mataifa, makanisa, misikiti, na nyumba nyingine za ibada zilichukua nafasi muhimu katika kupigania uhuru na haki, kwa kutoa uongozi na kuhamasisha umoja wa kitaifa, na kusimama dhidi ya dhuluma zinazofanywa na watawala mbalimbali.
Hapa chini ni muktasari wa nchi saba ambazo zilikomboa mataifa yao kwa msaada wa taasisi za kidini:
1. Poland
Kanisa Katoliki
Kanisa liliongoza upinzani dhidi ya utawala wa kikomunisti, likisaidia vuguvugu la sauti ya wengi na Uongozi wa Papa John Paul II uliwapa watu ujasiri wa kudai uhuru wao wa kisiasa na za usawa kwenye chaguzi.
2. Sudan Kusini
Makanisa ya Kikristo
Makanisa yalikuwa mstari wa mbele katika kusaidia waathirika wa vita, kueneza ujumbe wa matumaini, na kushinikiza jamii ya kimataifa kuunga mkono uhuru wa Sudan Kusini kutoka Kaskazini mwaka 2011.
3. Haiti
Makanisa ya Kikristo na ibada za Vodou
Wakati wa mapinduzi dhidi ya ukoloni wa Ufaransa, dini ilitumika kama chombo cha kuhamasisha wananchi kushikamana, wakiongozwa na viongozi wa kidini waliounganisha imani na mapambano.
4. India
Mahekalu ya Kihindu, Misikiti, Makanisa
Viongozi wa kidini walisaidia kuhamasisha watu kupitia mafundisho ya amani, umoja, na upinzani wa kutotumia nguvu.
Mahatma Gandhi aliongoza vuguvugu la ukombozi kwa misingi ya maadili ya dini.
5. Iran
Misikiti ya Kishia
Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 yaliunganishwa na imani ya kidini, ambapo misikiti ilitumika kama vituo vya harakati na viongozi wa kidini waliongoza mapambano dhidi ya utawala wa kifalme wa Shah.
6. Afrika Kusini
Makanisa
Viongozi wa dini kama Askofu Desmond Tutu waliongoza harakati za kupinga ubaguzi wa rangi (apartheid), wakitumia mimbari za makanisa kama majukwaa ya kupaza sauti dhidi ya dhuluma na ikaleta matokeo chanya.
7. Algeria
Misikiti
Wakati wa mapambano dhidi ya ukoloni wa Ufaransa, Uislamu ulikuwa chanzo cha mshikamano na misikiti ilitumika kueneza ujumbe wa ukombozi, huku viongozi wa kidini wakihamasisha mapambano ya kitaifa kupitia mimbari za misikiti . Hii ilipelekea watu kuingia mtaan na kumtoa Mfaransa. Uhuru wa kisiasa hauombwi…It is demanded….. NIPEE.
Kupitia DEMAND, ndio kunakuwa na heshima kati ya watawala na watawaliwa….lakini pia kunakuwa na heshima kati ya vyama na vyama. Bila kuheshimiana kisiasa… hatutotoboa kama Taifa…tutaendelea kuona MINORITY wakila mema ya nchi na kunenepeana thinking they are SMART than others
As a COUNTRY, we must stand up and demand our political Freedom
It is now or NEVER … 👎
Mwisho, ukimsikia mtu anasema viongozi wa dini msiingie kwenye SIASA …, jua huyo ni mtu mpumbavu asiyekuwa na akili au ni befeneficiary wa mfumo dhalimu. Full stop 🛑
Dr Megalodon Mushi. PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
Gentleman,Hakuna mwenye ghadhabu dogo. Sikushauri utumie neno mihemko unless wewe ni she .
Kama ni man , please find another word
Wewe unaujua Ukwelj!Gentleman,
siwezi kuchoka wala kuacha kueleza ukweli dhidi ya mihemko, ghadhabu, makasiriko na hatimae uporomoshaji mitusi ya miongoni mwa wadau wa humu JF, ambao hutumia hizo nonsense kama conclusion ya mijadala inayowalemea hoja au hoja zimewashinda,
so ,
ni muhimu kurelax na kushauri wengineo but not me 🐒
Nondo juu ya nondo, machawa yamepoteana, yakikaa nchale ,yakisimama nchale ,dadekiKatika baadhi ya mataifa, makanisa, misikiti, na nyumba nyingine za ibada zilichukua nafasi muhimu katika kupigania uhuru na haki, kwa kutoa uongozi na kuhamasisha umoja wa kitaifa, na kusimama dhidi ya dhuluma zinazofanywa na watawala mbalimbali.
Hapa chini ni muktasari wa nchi saba ambazo zilikomboa mataifa yao kwa msaada wa taasisi za kidini:
1. Poland
Kanisa Katoliki
Kanisa liliongoza upinzani dhidi ya utawala wa kikomunisti, likisaidia vuguvugu la sauti ya wengi na Uongozi wa Papa John Paul II uliwapa watu ujasiri wa kudai uhuru wao wa kisiasa na za usawa kwenye chaguzi.
2. Sudan Kusini
Makanisa ya Kikristo
Makanisa yalikuwa mstari wa mbele katika kusaidia waathirika wa vita, kueneza ujumbe wa matumaini, na kushinikiza jamii ya kimataifa kuunga mkono uhuru wa Sudan Kusini kutoka Kaskazini mwaka 2011.
3. Haiti
Makanisa ya Kikristo na ibada za Vodou
Wakati wa mapinduzi dhidi ya ukoloni wa Ufaransa, dini ilitumika kama chombo cha kuhamasisha wananchi kushikamana, wakiongozwa na viongozi wa kidini waliounganisha imani na mapambano.
4. India
Mahekalu ya Kihindu, Misikiti, Makanisa
Viongozi wa kidini walisaidia kuhamasisha watu kupitia mafundisho ya amani, umoja, na upinzani wa kutotumia nguvu.
Mahatma Gandhi aliongoza vuguvugu la ukombozi kwa misingi ya maadili ya dini.
5. Iran
Misikiti ya Kishia
Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 yaliunganishwa na imani ya kidini, ambapo misikiti ilitumika kama vituo vya harakati na viongozi wa kidini waliongoza mapambano dhidi ya utawala wa kifalme wa Shah.
6. Afrika Kusini
Makanisa
Viongozi wa dini kama Askofu Desmond Tutu waliongoza harakati za kupinga ubaguzi wa rangi (apartheid), wakitumia mimbari za makanisa kama majukwaa ya kupaza sauti dhidi ya dhuluma na ikaleta matokeo chanya.
7. Algeria
Misikiti
Wakati wa mapambano dhidi ya ukoloni wa Ufaransa, Uislamu ulikuwa chanzo cha mshikamano na misikiti ilitumika kueneza ujumbe wa ukombozi, huku viongozi wa kidini wakihamasisha mapambano ya kitaifa kupitia mimbari za misikiti . Hii ilipelekea watu kuingia mtaan na kumtoa Mfaransa. Uhuru wa kisiasa hauombwi…It is demanded….. NIPEE.
Kupitia DEMAND, ndio kunakuwa na heshima kati ya watawala na watawaliwa….lakini pia kunakuwa na heshima kati ya vyama na vyama. Bila kuheshimiana kisiasa… hatutotoboa kama Taifa…tutaendelea kuona MINORITY wakila mema ya nchi na kunenepeana thinking they are SMART than others
As a COUNTRY, we must stand up and demand our political Freedom
It is now or NEVER … 👎
Mwisho, ukimsikia mtu anasema viongozi wa dini msiingie kwenye SIASA …, jua huyo ni mtu mpumbavu asiyekuwa na akili au ni befeneficiary wa mfumo dhalimu. Full stop 🛑
Dr Megalodon Mushi. PhD Fellow
University of Ottawa
Canada
amini Mungu pekee, mimi ni binadamu kama wengine gentleman,Wewe unaujua Ukwelj!
A rational mind hawezi kusapoti uhuni wa CCM . Siamini kama wewe ni smart enough
No chadema no chawa , no ugali, watu wa aina hii wana mchago mdogo sana katika Taifa.Yes,
asie na hoja mara zote hutumia mihemko, ghadhabu na makasiriko kujaribu kubwekabweka maneno mbofu mbofu kujaribu kuhitimisha mjadala 🐒
Wewe na wenzako chawa sio binadam wa kawaida kama wengine ,periodamini Mungu pekee, mimi ni binadamu kama wengine gentleman,
achana na ushirikina 🐒
Vumilia ukweli, unakwama wapi 🌈?mbona weo kasongo?
huna point ispokua mihemko tupu na wewe ni smart?
hiyo si completely nonsense kasongo?🐒