Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
🤣🤣 ngoja wajeClub lialiaza mwezi Bora ni Yanga na Singida😂😂
Sasa huo mwezi wa may si ni Simba pekee kacheza
Maana wengine wamecheza mechi 1 lazima wapate wao
Alicheza mwenyewe kwamba hakuwa na washindani aliocheza nao au wao hawausiki?Sasa huo mwezi wa may si ni Simba pekee kacheza
Maana wengine wamecheza mechi 1 lazima wapate wao
Nawasubiri hapa Msimbazi niwapige vibao🤣🤣 ngoja waje
Mechi nyingi zinaongeza visibility wengine wamecheza mechi Moja Moja hapo lazima wao waonekaneAlicheza mwenyewe kwamba hakuwa na washindani aliocheza nao au wao hawausiki?
Hizi tuzo zimekaa kihun, haiwezekan timu imecheza mechi 1 mwezi mzima inatoa kocha na mcgezaji bora wa mwezi 🤔Mshambuliaji Steven Mukwala wa Simba ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mei Ligi Kuu ya NBC 2024/25 baada ya kung’ara kwenye mechi nne kwa kufunga mabao matatu na kuchangia moja, huku kocha wake Fadlu Davids akichaguliwa Kocha Bora kwa kuiongoza Simba kushinda mechi zote tano za mwezi huo.
View attachment 3351121
Ashraf Omar wa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ametajwa Meneja Bora wa Uwanja, na katika Ligi ya NBC Championship, Frank Rutha wa African Sports amekuwa Mchezaji Bora, huku Malale Hamsini wa Mbeya City akitwaa tuzo ya Kocha Bora baada ya kuipandisha timu yake Ligi Kuu.
View attachment 3351117