CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Mulbery ni moja ya matunda yenye radha nzuri sana, na pia yana kazi nyingi sanakuanzia kutengeneza Juice, Jam, Ice cream na kadhalika.
Haya matunda tunayo mitaani kwetu sehemu mbali mbali na watu hatujajua kwamba ni pesa imelala pale, Mfano Jam za haya matunda usipime kabisa, Kuna Mama mmoja wa Kihindi Arusha nilikuwaga na Muuzia Strawberry sasa alikuwa na hii miti kama 9 kwenye compaund yao na ikawa imezaa hasa, na huwa ana chuma anatengeneza Jam kwa ajili yake, alinipa pakiti 1 aisee ni nzuri kwa kweli.
Haya matunda nchi zingine yanalimwa na yanauzwa super Market na mitaani, na pia yanatengeneza Fresh juice na Jam na Ice cream.
Now day Vibanda vya kuuzia Juice vimejaa kila kona ya miji lakini asilimia 100 wanatumia matunda yanayo fanana, Ila sio kosa lao kwa sababu hakuna mbadala na hayo ndo yanayo patikana.
Mulbery ni rahisi sana kulima make huhitaji kuja kuanza kumwagilia maji.
WATU WATAULIZA SOKO LAKE VIPI?
Uzuri haya matunda asilimia 99 ya Watanzania tunayajua ila tusicho jua ni kama ni biashara, asilimia kubwa tusha yala mitaani na huko Bushi kwetu, sema hatujui kama kuna pesa pale.Wazungu na Asian wanayajua fika sana na huu mmea ulitokea Asia.
Haya ukilima soko haliwezi kuwa changamoto kwa sababu yanajulikana sana na raia wengi, Haya uki introduce kwa wanao tengeneza fresh juice hawata yaacha kamwe, bado watengeneza Ice cream bado wazalisha Jam.
Haya huhitaji miche unakata tu vijiti unaotesha, Ingawa kuna Hybrid yake niliona Kenya ambayo inakuwa fupi kiasi.
Kuliko kuwa na mashamba yamelala otesha vitu kama hivi, utakuja kurudi kunishukuru one day.
Tusingoje sijui Bashe atutangazie, au tuone kwenye TV mtu analima na sisi ndo tukimbilie kulima.
View attachment 2243276View attachment 2243277