Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kumbe unaongelea mang'ang'a
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo,Dar na Pwani yanastawi sana,upo wapi nikutumie vipande 5,ukachukue stend ya Mbezi .Je miche au kipande chake cha mti kinaweza kupatikana Dar es Salaam
Shukrani sana mkuu, nitakutumia namba. hiyo imekaa vizuri.Ndiyo,Dar na Pwani yanastawi sana,upo wapi nikutumie vipande 5,ukachukue stend ya Mbezi .
Mbegu bure,ila utamlipa konda gharama za usafirishaji,nitumie namba yako pm.
Vinaota kirahisi unapanda kama muhogo au muwa,Ila usivigeuze tu yaani kupanda juu chini.
Shukrani sana mkuu, nitakutumia namba. hiyo imekaa vizuri.
Ndugu JS Farms ubarikiwe sana, mzigo jana niliupata na ukiwa katika hali nzuri. Nmevipanda vipande leo asubuhi, sasa nasuburi kudra za Mwenyezi Mungu, vianze kuota.Ndiyo,Dar na Pwani yanastawi sana,upo wapi nikutumie vipande 5,ukachukue stend ya Mbezi .
Mbegu bure,ila utamlipa konda gharama za usafirishaji,nitumie namba yako pm.
Vinaota kirahisi unapanda kama muhogo au muwa,Ila usivigeuze tu yaani kupanda juu chini.
Ndugu JS Farms ubarikiwe sana, mzigo jana niliupata na ukiwa katika hali nzuri. Nmevipanda vipande leo asubuhi, sasa nasuburi kudra za Mwenyezi Mungu, vianze kuota
Dah siajawi ona upendo wa namna hii humu jamvini,hakika mnahitaji pongeziNdugu JS Farms ubarikiwe sana, mzigo jana niliupata na ukiwa katika hali nzuri. Nmevipanda vipande leo asubuhi, sasa nasuburi kudra za Mwenyezi Mungu, vianze kuota.