Mulika: Hali ya usalama Dar es Salaam ni tete, Kova amelala fofofo

Mulika: Hali ya usalama Dar es Salaam ni tete, Kova amelala fofofo

Nimeufurahia uchambuzi wako. Imeshakua utamaduni sasa kwenda kuvinunua vifaa ulivyoibiwa gerezani. Kunamtu aliridishiwa kila kitu hadi vilivyokuwemo kwenye dash board yaani miwani funguo na documents mbalimbali...kwakua tunaendelea kununua vitu vya wizi "biashara" hii itaendelea

yaani post yangu hapo juu,ni mstari huu
 
CCM na Mtandao wa Uhalifu ni kama Samaki na maji,Huwezi kuvitenganisha kamwe.Rejea maelezo ya yule jambazi kwa askari wa JWT kule Mwanza aliedai kuwa anaufahamu mtandao wa watu waliomuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Bw Barlow ambao ulihusisha mpaka baadhi ya Mawaziri,Maofisa wa Vyombo vya Usalama.Huwezi ukapambana na Uhalifu mkubwa hapa Nchini ukafanikiwa bila kwanza kuing'oa CCM madarakani,Huo ndio ukweli mchungu.
 
unapo andika neno SITE MIRROR badala ya SIDE MIRROR, unanitia wasiwasi kama hiyo degree unayo na umesomea marekani!

Nije kwenye mada: unaposema hupo tayari kufanya kazi na jeshi la polisi nakua sikuelewi! hilo ndiyo jeshi letu na ndiyo hali halisi ya nchi. lazima ujiunge na jeshi hilo ili wewe pamoja na wengine wachache wenye ueledi, muimarishe jeshi hilo kwa pamoja.

Kwa usomi wako, hukui kuwa polisi inawategemea sana wananchi kuwapa habari!? ulifanya nini kukomesha wizi wa vifaa vya magari pale ulipoletewa taa maeneo ya mtaa wa lindi (karume)? nilidhani ungetueleza jitihada ulizozifanya kushirikiana na polisi ili tujue wapi polisi wetu wanakosea.

Unapoomba kova ajiuzulu hali ya kuwa umeshindwa kuwatia polisi wake hatiani, basi ulipoteza muda huko America ulikosoma!
 
side mir·ror

  • mirror attached to side of vehicle: a mirror attached to the side of the windshield or the outside of a front door of a vehicle, allowing the driver to see behind the vehicle ************************************

neno sahihi ni side mirror na siyo site mirror. ulisoma marekani kweli? umesukumwa na uzalendo au na siasa? hudhani kuwa ili utafiti wako ukamilike ulikua uoneshe umewashirikisha polisi kiasi gani ili tujue uwezo au udhaifu wao? kumuomba kova ajiuzulu bila ya kumshirikisha na kuona udhaifu, hudhani kuwa humtendei haki?
 
scramble

Nilishapeleka taarifa kwa mkuu wa kituo pale Gerezani aliniambia taarifa hizo wanazo na tayari wameanza uchunguzi.....the usual blah blah....kuhusu site mirror ni typing error and its not big issue to me and i am not gona edit it
 
Mkuu Karume ni maarufu kwa kuuza magari ya wizi yaliyokatwa vipande vipande,
ila kuhusu power window na vitu vidogo vidogo vinavyoibwa kwenye magari chaka lake lipo Kariakoo mtaa wa Msimbazi pembeni ya kituo maarufu cha mafuta kinachoitwa BIGBORN.

Ukifika hilo eneo kwa nje pako simple na kuna geti la kuingia ndani sema pako bussy watu wanaingia na kutoka muda wote,

Ukiingia ndani ndio utastaajabu pako pana vibanda vingi km soko la mchikichini au soko la ilala hapo ndio mahakama ya power window!
 
Mkuu hii Nchi kuna ujinga mwingi sana na mtandao wa wezi una connection naq polisi ambao si waaminifu .Wanawapa mbinu wezi na hata wakikamatwa wanawatisha walalamikaji .Eneo moja tu hilo la magari lakini kuna wizi wa laptops, iPads,nk .Wizi huu ni mkubwa mno na simu za watu na polisi wanaujua sana .Kuna wizi wa magari kwa njia za kujifanya wanataka kununua magari na huku wakiwa si wanunuzi na polisi wanajua ukiwapa taarifa wanaomba vitendea kazi kuwapata wahalifu .

Shida kubwa iko kwenye Airtel na Tigo na Zantel wanaleta ugumu sana sana kutoa ushirikiano hata wa polisi kutambua mawasiliano yanato tumika na wezi .Ni rushwa hata kupata print out nina ushahidi naweza kuutoa hata kwa IGP wakitaka msaada .
 
scramble

Are you also part and parcel of the syndicate??? Because you have consumed a lot of energy in launching personal attack rather discussing the issue on the table......cool down man!!!!!!
 
scramble

Nilishapeleka taarifa kwa mkuu wa kituo pale Gerezani aliniambia taarifa hizo wanazo na tayari wameanza uchunguzi.....the usual blah blah....kuhusu site mirror ni typing error and its not big issue to me and i am not gona edit it

mbona hilo la kwenda kituo cha polisi gerezani hujaliandika? kwa hiyo unakubaliana na maoni yangu kuwa ulikua ubalance ripoti yako? dogo elewa kuwa hapa jamii forums kuna wasomi japo hatujitangazi. japo na vihiyo wapo ambao kazi yao ni k.u.t.uk.an.a wenzao. unapo sema huto edit neno site mirror mbona nakuona kama umepandwa na jazba!? hupendi kukosolewa? umekamilika? tehtehtehteh! ka nchi haka kana mambo! KAMA KWELI UMESOMA MAREKANI, NAKUAMURU UHARIRI NENO SITE MIRROR. weka SIDE badala ya SITE. usichafue jina la marekani kitaaluma dogo. msomi hawezi kung'ang'ania kosa hata siku moja! badilika! chukua hatua!
 
Nimeufurahia uchambuzi wako. Imeshakua utamaduni sasa kwenda kuvinunua vifaa ulivyoibiwa gerezani. Kunamtu aliridishiwa kila kitu hadi vilivyokuwemo kwenye dash board yaani miwani funguo na documents mbalimbali...kwakua tunaendelea kununua vitu vya wizi "biashara" hii itaendelea

Siku nitakayoibiwa hata plate number na nikaenda Gerezani na kuambiwa nizinunue tena ndio siku Umma utaamka na Jeshi la Polisi kuanza kuwafuatilia na kuuwa mitandao hii yenye mizizi iliotitia ardhini.

Na siku zote nasema na siogopi kusema raia wa Tanzania endapo mtamkamata mwizi mtaani basi Kibiriti, Mafuta na Tairi vihusike faster.

Tumeshashuhudia mitaa kadhaa inayokuwa na usumbufu wa wezi, lakini raia wakiwachoma moto wezi wawili ama watatu basi uhalifu woote unakwisha na usalama wa raia na mali zao unarudi tena kwa nidhamu ya hali ya juu.

Imefika kipindi tuchukue hatua mikononi, maana hawa tunaowategemea watulinde sisi na mali zetu ni sawa na mkia wa Mbuzi...haustiri Uchi wala haufukuzi Nzi
 
na wenye magari mnachangia wizi kwa asilimia fulani....mnanunua vitu vya wizi,leo nimeibiwa unavinunua wewe,kesho natoa oda anaibiwa mwingine na kuendelea hivyohivyo......mkiibiwa nunueni vipya kwenye duka lenye VAT tuone wakiiba watamuuzia nani.......ulaya magari yanalala barabarani si benz,si bmw na takataka zote zinalala barabarani hawaibi vitu kama taa,side mirror,power window coz hamna mtu ananunua taa za wizi,side mirror barabarani.ikivunjika unaenda dukani au junk yard zinazotambulika unatoa kwenye gari iliokuwa scrapped.....

Kweli pia...
 
scramble

Nilishapeleka taarifa kwa mkuu wa kituo pale Gerezani aliniambia taarifa hizo wanazo na tayari wameanza uchunguzi.....the usual blah blah....kuhusu site mirror ni typing error and its not big issue to me and i am not gona edit it

mbona hilo la kwenda kituo cha polisi gerezani hujaliandika? kwa hiyo unakubaliana na maoni yangu kuwa ulikua ubalance ripoti yako? dogo elewa kuwa hapa jamii forums kuna wasomi japo hatujitangazi. japo na vihiyo wapo ambao kazi yao ni k.u.t.uk.an.a wenzao. unapo sema huto edit neno site mirror mbona nakuona kama umepandwa na jazba!? hupendi kukosolewa? umekamilika? tehtehtehteh! ka nchi haka kana mambo! KAMA KWELI UMESOMA MAREKANI, NAKUAMURU UHARIRI NENO SITE MIRROR. weka SIDE badala ya SITE. usichafue jina la marekani kitaaluma dogo. msomi hawezi kung'ang'ania kosa hata siku moja! badilika! chukua hatua! AN ERROR IS NOT A MISTAKE IF YOU CORRECT IT. inamaana if you don't correct an error, then it becomes a mistake!
 
scramble

Are you also part and parcel of the syndicate??? Because you have consumed a lot of energy in launching personal attack rather discussing the issue on the table......cool down man!!!!!!

achana na Kiingereza dogo. kosa lingine umeandika. baada ya neno rather ulikua uandike neno THAN ili yasomeke rather than. napita tu
 
mbona hilo la kwenda kituo cha polisi gerezani hujaliandika? kwa hiyo unakubaliana na maoni yangu kuwa ulikua ubalance ripoti yako? dogo elewa kuwa hapa jamii forums kuna wasomi japo hatujitangazi. japo na vihiyo wapo ambao kazi yao ni k.u.t.uk.an.a wenzao. unapo sema huto edit neno site mirror mbona nakuona kama umepandwa na jazba!? hupendi kukosolewa? umekamilika? tehtehtehteh! ka nchi haka kana mambo! KAMA KWELI UMESOMA MAREKANI, NAKUAMURU UHARIRI NENO SITE MIRROR. weka SIDE badala ya SITE. usichafue jina la marekani kitaaluma dogo. msomi hawezi kung'ang'ania kosa hata siku moja! badilika! chukua hatua!

Na wewe tuondolee ujinga wako hapa.Kama Jeshi la Polisi wanafanya kazi zao kwa ufanisi na wanaaminika kama unavyojaribu kutuaminisha hapa walikuwa wapi wakati huo huu WIZI wa vifaa vya magari ulipoanza kuonyesha sura yake hapa Jijjni Dar?Mbona unataka kujitoa akili au na wewe ni MDAU sasa unaona jamaa anataka kuwatibulia biashara zenu?The whole system is corrupt in Tz.
 
TECH WIZ

ahsante kwa kutambua hilo pia huyu jamaa anaonekana ana interest na hii issue......but have my word i am going to find out every thing about him very soon.....
 
Na wewe tuondolee ujinga wako hapa.Kama Jeshi la Polisi wanafanya kazi zao kwa ufanisi na wanaaminika kama unavyojaribu kutuaminisha hapa walikuwa wapi wakati huo huu WIZI wa vifaa vya magari ulipoanza kuonyesha sura yake hapa Jijjni Dar?Mbona unataka kujitoa akili au na wewe ni MDAU sasa unaona jamaa anataka kuwatibulia biashara zenu?The whole system is corrupt in Tz.

soma mchango wangu wa mwanzo kabisa utaelewa lengo langu. nalaani hii hali ya mtu kununua vifaa vyake vilivyoibiwa. nilimkosoa huyu bwana kuwa baada ya kuletewa hivyo vifaa kwa nini hakwenda baadaye na polisi ili aone polisi watafanya nini? polisi wanakula na hao wahalifu. kama msomi aliesoma marekani, alitumia mbinu zipi kupambana na tatizo hili kuliko kusema kova ajiuzulu? naungana nae lkn vile ni mtaalamu alikua atoe njia mbadala
 
Ulichosema Private Mpelelezi kuhusu polisi kuwa na primitive and outdated way of working ni kweli kabisa. Siyo polisi tu ila everywhere system zetu zinafanya kazi ki local sana. Ukienda mahospital madaktari hawana hata PC na kama wanazo hamna hata internet.

Hivi karne hii ni ya kufanya kazi nje ya internet connection kweli!? Nakuunga mkono kutokujoin kufanya kazi na polisi sbb unaweza kuhatarisha maisha yako bure. I'm sure ukifanya nao utajikuta una disagree nao kwa mambo mengi then at the end wanaweza kukuona wewe ni threat naukaokotwa kwenye kisima cha maji kama yule jamaa wa usalama.

Tunahitaji overhaul ya uongozi kuanzia pale juu then tujipange kufanya kaza kwa mustakabal wa taifa siyo sasa hivi watu wanafanya kazi kwa maslahi ya ndugu, jamaa na familia zao. I tell you kama umefanya kazi kidogo kwenye nchi za wenzetu then ukirudi kufanya kazi kwenye system ya Tz utaambulia tu frustration. Mambo yako hovyo hovyo no body cares!

Let us join the forces to dig out the parasite CCM then things gonna change!
 
Last edited by a moderator:
Tena afadhali wewe, kina mwanajeshi mmoja walimuibia tena home kwake vifaa vya gari, akafanya upelelezi mpaka akavikuta hapo karume, akafyatuka akavichukua, next time huo huo mtandao ukaenda kuvamia nyumbani kwake na kuiba injini, sasa sijui iliishia wapi. Unajua CCM inawaweka polisi busy na siasa za makundi badala ya kuwaacha waangalie ulizi badala ya kufocus makundi fulani ktk jamii kama ni hatari. Naunga mkono kuanzia mwema mpaka kova wawajinike, maana wanatumia nguvu nyingi kuthibiti CHADEMA badala ya kufikiria kuboresha jesho
 
TOWNSEND; Bila shaka hakuna anayebisha mkuu, siyo tu vipodozi maana kuna wamefumwa na magunia ya bangi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom