Kwamba ulitegemea avae njao akatize kirahisi? Hufikirii kama red ingerahisisha mpango?Shabiki wa utopolo ndio avae nguo nyekundu? haiingii akilini.
unaumiza kichwa chako Bure yani ata ukijua haibadilishi kitu chochote kwenye Mpira wa Africa kuna Vitu vingi Sana vinafanyika nyuma ya CameraShabiki wa utopolo ndio avae nguo nyekundu? haiingii akilini.
Ni kawaida makolo kupiga watu na kuwasingizia mara wezi au wachawiKuna video clip nimeiona inateand huko FB.
Video hiyo inamuonyesha mtu mmoja alievaa joho jekundu, akichezea kichapo kutoka kwa watu wenye hasira kali tena ni ndani ya uwanja kabisa, alafu kuna sauti inayo sema ..
Rangi ya majini haina uhusiano na simbaShabiki wa utopolo ndio avae nguo nyekundu? haiingii akilini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna shabiki wa utopolo alienda kuwarogea Galaxy ili mnyama alale. Amechezea kichapo cha haja, bila shaka naye atakuwa amezimia kama Ali Kamwe
Mavazi ya Majini hayo.Shabiki wa utopolo ndio avae nguo nyekundu? haiingii akilini.
Usibishane na akili robo!Kwamba ulitegemea avae njao akatize kirahisi? Hufikirii kama red ingerahisisha mpango?
Semeni Tu Ni mganga wenuKuna shabiki wa utopolo alienda kuwarogea Galaxy ili mnyama alale. Amechezea kichapo cha haja, bila shaka naye atakuwa amezimia kama Ali Kamwe
Kwamba wanga huwa wanapaka blichi?Shabiki wa utopolo ndio avae nguo nyekundu? haiingii akilini.
Ni YANGAKuna video clip nimeiona inateand huko FB.
Video hiyo inamuonyesha mtu mmoja alievaa joho jekundu, akichezea kichapo kutoka kwa watu wenye hasira kali tena ni ndani ya uwanja kabisa, alafu kuna sauti inayo sema "pigaaa wachawi hao" na nyingine ikesema, "walikuja kuroga hawa" mpaka sasa bado sijalielewa hili tukio.
Naomba kwa aliyekuwepo uwanjani na alieliona hili tukio atujuze vizuri.
SAMAHANI, video nimeshindwa kui kuichukua.
Ndio ilikuwa gia yake, tukamshtukia. Amechezea cha kutosha mtopolo yuleShabiki wa utopolo ndio avae nguo nyekundu? haiingii akilini.