Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Kuna video clip nimeiona inateand huko FB.
Video hiyo inamuonyesha mtu mmoja alievaa joho jekundu, akichezea kichapo kutoka kwa watu wenye hasira kali tena ni ndani ya uwanja kabisa, alafu kuna sauti inayo sema "pigaaa wachawi hao" na nyingine ikesema, "walikuja kuroga hawa" mpaka sasa bado sijalielewa hili tukio.
Naomba kwa aliyekuwepo uwanjani na alieliona hili tukio atujuze vizuri.
SAMAHANI, video nimeshindwa kui kuichukua.