Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
"Kulinganisha jeshi letu la polisi na Marekani ni makosa makubwa wakati unakuta kuna CCTV camera kuanzia ndani. Kuna footage kwenye gari, barabara, ofisini.
"Sasa uchunguzi wake utalinganisha na Mtanzania ambaye anatumia akili yake. Ni kweli kuna mabadiliko makubwa kwenye uchunguzi, tunasoma vizuri lakini pia nadhani ni makosa makosa makubwa kusema kwamba sehemu fulani siku Tano tu kesi imekwisha.
"Nadhani wapelelezi wa Tanzania wana akili kubwa sana wanachunguza hadi kumkamata mhalifu. Hawa wana akili kuliko hata wa nchi zingine ambao vyombo vyao viko wazi, mtu anangalia na kumuonyesha muhalifu" - SACP, Muliro Jumanne - Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya DSM ameuasema hayo katika Mahojiano na Clouds