tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mulilo bado una kiu ya kuua? Mbona umeua sana tena sana? Bado una kiu?Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewaonya wale wote wanaopanga, kuratibu ama kutaka kushiriki kwenye uvunjifu wa amani ikiwemo kufanya vurugu na maandamano Oktoba 29, 2025, akisema Jeshi hilo limekula kiapo kulinda nchi pamoja na raia na mali zao.
Soma pia: Kamanda Muliro kuelekea Oktoba 29, tumejipanga kwa kila tishio la kiusalama
View attachment 3493221
Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 wakati wa kongamano la Vyuo na Vyuo Vikuu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza na kuwashirikisha wanafunzi wa shule za Sekondari, Vyuo na Vyuo Vikuu, akiwataka Vijana pia kuwa waangalifu na kutafakari kuhusu misukumo na mihemko yao kulingana na aina na makundi ama watu wanaoambatana nao.
"Tukiwa kama watu tuliokula kiapo tunawaleza kuwa tutatimiza jukumu letu la kuhakikisha kuwa watu wanakuwa salama, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura, wafuate sheria na sisi tutakuwepo barabara kuwalinda wote wanaoenda kutimiza jukumu lao la Kikatiba la kwenda kupigakura. Siku hiyo kutakuwa hakuna maandamano wala hakuna vurugu, siku hiyo ni ya upigaji wa kura bila hofu."Amesema.
Mlilo usiende maandamano basi ofisini vijana wana hamu na wewe usipime.Mulilo bado una kiu ya kuua? Mbona umeua sana tena sana? Bado una kiu?
Mulilo atafanya kazi yake tu aliyolia kiapo.Mulilo bado una kiu ya kuua? Mbona umeua sana tena sana? Bado una kiu?
Sijui nimezeeka au akili zimeniruka., akisema Jeshi hilo limekula kiapo kulinda nchi pamoja na raia na mali zao.
View attachment 3493221
Hyo mbinu ni nyepesi sana..Kamanda utawajuaje waandamanaji na wapiga kura wa mazee.
AlisemaKamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewaonya wale wote wanaopanga, kuratibu ama kutaka kushiriki kwenye uvunjifu wa amani ikiwemo kufanya vurugu na maandamano Oktoba 29, 2025, akisema Jeshi hilo limekula kiapo kulinda nchi pamoja na raia na mali zao.
Soma pia: Kamanda Muliro kuelekea Oktoba 29, tumejipanga kwa kila tishio la kiusalama
View attachment 3493221
Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 wakati wa kongamano la Vyuo na Vyuo Vikuu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza na kuwashirikisha wanafunzi wa shule za Sekondari, Vyuo na Vyuo Vikuu, akiwataka Vijana pia kuwa waangalifu na kutafakari kuhusu misukumo na mihemko yao kulingana na aina na makundi ama watu wanaoambatana nao.
"Tukiwa kama watu tuliokula kiapo tunawaleza kuwa tutatimiza jukumu letu la kuhakikisha kuwa watu wanakuwa salama, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura, wafuate sheria na sisi tutakuwepo barabara kuwalinda wote wanaoenda kutimiza jukumu lao la Kikatiba la kwenda kupigakura. Siku hiyo kutakuwa hakuna maandamano wala hakuna vurugu, siku hiyo ni ya upigaji wa kura bila hofu."Amesema.
Mlilo awe wa kwanza kufikishwa mahakama ya Uhalifu ICC The HagueKamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewaonya wale wote wanaopanga, kuratibu ama kutaka kushiriki kwenye uvunjifu wa amani ikiwemo kufanya vurugu na maandamano Oktoba 29, 2025, akisema Jeshi hilo limekula kiapo kulinda nchi pamoja na raia na mali zao.
Soma pia: Kamanda Muliro kuelekea Oktoba 29, tumejipanga kwa kila tishio la kiusalama
View attachment 3493221
Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 wakati wa kongamano la Vyuo na Vyuo Vikuu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza na kuwashirikisha wanafunzi wa shule za Sekondari, Vyuo na Vyuo Vikuu, akiwataka Vijana pia kuwa waangalifu na kutafakari kuhusu misukumo na mihemko yao kulingana na aina na makundi ama watu wanaoambatana nao.
"Tukiwa kama watu tuliokula kiapo tunawaleza kuwa tutatimiza jukumu letu la kuhakikisha kuwa watu wanakuwa salama, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura, wafuate sheria na sisi tutakuwepo barabara kuwalinda wote wanaoenda kutimiza jukumu lao la Kikatiba la kwenda kupigakura. Siku hiyo kutakuwa hakuna maandamano wala hakuna vurugu, siku hiyo ni ya upigaji wa kura bila hofu."Amesema.
Baadaye ikawajeMikwara tuu hakuna mwenye Balls za kuandamana ni utani tuu wa vijana wakishashiba ugali. Hakuna
Waandamanaji waliandamana kwenda kwake Mbezi kimara wakazuiwa na Asikari kwa kutupiwa Risasi nyingi wakatawanyika, kinyume na hapo nyumba yake ingechomwa moto, sasa wapo wanamngojea Asitaafu akiwa nyumbani mda wote wamdai ndugu zao aliowauaJinga kabisa hili saa hizi liko mafichoni, linasema video ni AI halafu mwingine anasema kweli waliua watu.