Muliro: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa mtaroni Mwenge

Muliro: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa mtaroni Mwenge

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amethibitisha kupatikana kwa mwili wa mtu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 40 katika eneo la Mwenge, Dar es Salaam.

Mwili huo umekutwa leo, Septemba 14, 2026, majira ya saa 2:00 asubuhi ukiwa kwenye ya mtaro. SACP Muliro amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kisayansi ili kubaini chanzo cha kifo pamoja na mazingira yaliyopelekea mtu huyo kufariki dunia.

Soma Pia: Polisi: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa unaelea mto Msimbazi

 
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amethibitisha kupatikana kwa mwili wa mtu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 40 katika eneo la Mwenge, Dar es Salaam. Mwili huo umekutwa leo, Septemba 14, 2026, majira ya saa 2:00 asubuhi ukiwa kwenye ya mtaro. SACP Muliro amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kisayansi ili kubaini chanzo cha kifo pamoja na mazingira yaliyopelekea mtu huyo kufariki dunia.
Pole Pole, uchunguzi wake umefikia wapi?
 
Back
Top Bottom