Muliro: Wanaoshangaa kuwaona Askari Mtaani wakiwa na mitutu, wana vimelea vya uhalifu

Muliro: Wanaoshangaa kuwaona Askari Mtaani wakiwa na mitutu, wana vimelea vya uhalifu

Ulinzi leo uku mitaani ingekuwa kila siku matukio ya kutekwa na kupotea kwa watoto ya singe kuwepo
 

Kwa ufupi sana ni kuwa serikali ya CCM inawapa wakati mgumu sana polisi wetu hawa kuutetea uongo na ulaghai wa watawala wa serikali hii....

Ukimtazama na kumsikiliza Kamanda Muliro ktk video hii unamuona wazi kabisa ambavyo ana - struggle kuifanya simulizi yake kuwa ina "substance" ili tu kuonesha kuwa polisi wamefanya jambo la maana kweli wakati ni ujinga mtupu.....

Mtazame zaidi na zaidi utagundua kuwa huyu kamanda yuko under very big pressure kufanya afanyacho toka kwa wakubwa zake, bila shaka nenda na sema lolote.....

Lugha ya mwili wake na kitokacho ktk midomo yake hakitoi picha ya Police professionalism hata kwa 5% tu kwa kamanda huyu mkubwa kabisa wa Polisi Kanda ya DSM....

Poleni sana police wetu. CCM wanawatesa sana. Vibarua vyenu hivyo ni kama vile mnavyo tu kwa hisani yao.....

Hata ninyi mnahitaji katiba mpya ili iiweke ajira na taasisi yenu ktk utendaji huru si kama ilivyo sasa....!!
 
IMG_20240922_035102.jpg
IMG_20240922_035041.jpg
 
Hatuna Rais hapo....

Pale ikulu tuna roboti ambalo liko controlled na nguvu nyingine tu....

I am confident that, this woman is purely a disgrace.....!!
 
Back
Top Bottom