Mullah wa Iran, Mostafa Karami: "Israel wanatumia majini katika shughuli za kijeshi"

Mullah wa Iran, Mostafa Karami: "Israel wanatumia majini katika shughuli za kijeshi"

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Hahaha mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za Kivita.

Msikilize zaidi katika video.
 
Hahah mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za kivita.

Msikilize zaidi katika video.

Ila Kwa mahaba na mwisrael uko vizuri ..
 
Ni huzuni bado imetawala hapa mwembe mtengu baada ya kifo cha kipenzi chetu Nasrallah mbaya zaidi hata tukiona chokoleti madukani tunakimbia we ule mbomu una balaa badala ya kumwaga moto ulimwaga hewa la chokoleti mji mzimaa
Hahahahahahahaha
Hahahahahahaha
Hahahahaha
Hahahah
 
America and Israel have been testing new means and methods of warfare turning an entire Levant into an open air laboratory.

AI, Pyro-warfare, Terrestrial & Satellite Tracking, Electronic warfare, Cyber-warfare, Microwave Attack, Heart-print Tracking Technology and other dark arts.

Iran and her proxies are facing the scourge of a collective west is 100 times technologically superior.​
 
Hahaha mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za Kivita.

Msikilize zaidi katika video.
Inasikitisha, kwamba waja wenzao wa allah wamewageuka? Wamemsaliti allah Muumba wao kwa kuwafeuka ndugu zao katika imani?

Wamwambie sharif majini au dr. Sule atume majini mazuri aliyonayo waende wasaidia kupambana huko Lebanon.
 
Ahhahahahahah
Hahahahahah
Hahahahah
Hahahaha
Hahaha
Haha
 
Back
Top Bottom