Multi level marketing

Multi level marketing

Joined
Jan 10, 2015
Posts
78
Reaction score
27
Zifuatazo ni sababu kwanini mimi nafanya biashara ya Mtandao na sio biashara ya kizamani. Karibu sana katika biashara hii ya karne ya ishirini na moja;

Hii ni biashara ambayo utaingia ubia na kampuni ambayo tayari imesha jiimarisha kiuchumi na kuanza kutumia jina la kampuni kwa kutumia bidhaa zake na kuanza kuweka hisa.

Hapa ndipo utalipwa kulingana na jitihada zako! Mwajiliwa ukitoka saa sita usiku from morning mwajiri hilo hatambui but huku kila mtu analipwa kulingana na nguvu kazi zako.

Ukijituma pesa ya mchakato inaingia;

1. Utalipwa kulingana na juhudi zako kibiashara

2. Huwezi kufirisika kwani ASSET zako ni watu. Mfano hivi unafikili kampuni km vodacom itafirisika?
Unapomiliki asset watu hata siku moja huwezi kufirisika mpendwa.

3. Biashara ikikudodea wewe watu wa mikoa mingine ambao upo nao ubia huko itakuwa imepamba moto. Sasa kwa nini ulale njaa.

4. Unaweza kuirithisha kizazi na kizazi

5. Hulipi ushuru kwani kampuni ndiyo inayo husika kulipa ushuru huo wa mauzo kwani wewe ni daraja kati ya kampuni na mteja na kampuni inakujali kwa hilo.

6. Huwezi kuibiwa na mtu mauzo yako kwani pesa yako ipo kwa watu sasa atakuibiaje huyo ndugu yako?

7. Huna haja ya kutengeneza ofisi kwani ofisi ya kampuni ni ofisi yako. Kwa nini uingie gharama? Km unatengeneza ni kwa manufaa yako.

8.Ni virahisi kujitanua kwenda mikoani. Jiulize wewe leo hii biashara yako isambae hata mikoa mitano uendeshaji wake utakuwaje? Utalia rafiki na usijaribu . lakini kupitia biashara hii ya mtandao unaweza kumiliki na kusambaza biashara yako tanzania nzima na dunia nzima bila gharama yoyote kabisa.

10. Utamiliki watu wengi na hawo watu wote watakaofanya biashara kupitia kampuni watalipwa na kampuni yako.

11. Biashara yenye future.

12.Utafurahia pesa unayoitafuta kwani unaweza kusafiri kwenda uswisi kama umeacha team hata ya watu 100 ukirudi baada ya miezi sita utakuta mia tatu pesa inaingia tu.

13. Utaweza kujipatia mtaji mkubwa na kufungua taasisi au kampuni yako kulingana na ndoto zako. Hivyo hii biashara inakuwa kama chombo chako kuelekea mafanikio unakuwa unavuna pesa unawekeza kwenye traditional business kama chuo, hospital, maduka ya nguo, saloon za kisasa, clinics na n.k.

Haya yote ndani ya Neptnus, unaanza kutimiza ndoto hizi kwa Tshs 26,000/=.
 
Sasa hio Neptune ndio nini? Dawa ya mbu au
 
Ha ha ha ha, si kweli bali wenye mawazo chanya na wako tayari kubadirika,na kuacha traditional business na kuwa risk taker,ni vigumu kufanikiwa kama kila fulsa kwako ni mbaya au haifai....ukijua maana ya biashara ya mtandao, huwezi tamani kufanya nyingine,
 
Mkuu ungetuelewesha neptune ninini unafanyaje kazi naona umetoa faida zake tu!!
 
BIASHARA YA MTANDAO NDANI YA NEPTUNUS NI UTAJIRI MTUPU


SIRI YA UTAJIRI NDANI YA KAMPUNI
YA NEPTUNUS

1. Neptunus ni nini?


Ni kampuni iliyo anzishwa mwaka 1989 baada ya viwanda vitatu vya umma kuungana. Viwanda hivi hujishugulisha na kutengeneza dawa za mahospitalini(chemical drugs) na dawa za mimea(natural drugs) yani dawa asili. Viwanda hivi ni NEPSTAR CHAIN DRUGSTORE CO. LTD kipo new york stock exchange marekani, NEPTUNUS BIO-ENGINEERING CO LTD kipo shenzhen stock exchange na NEPTUNUS INTERLOG BIOTECHNIQUE CO LTD kipo hongkong. Hayo matatu ni masoko ya hisa ya kampuni ya neptunus. Kampuni hii ilianza kuzalisha dawa kabisa za kutibu magonjwa sugu na virutubisho mbalimbali ambazo leo ni changamoto kubwa duniani kwani mwaka 1998 kampuni hii ilitunikiwa tuzo ya GMP(Great manufacturer Company) hii ni kwa sababu ilitunikiwa tuzo miaka mitatu mfululizo za NOBEL kutokana na bidhaa ya GOLDEN OYSTER na GINKARDIO suluhisho la pressure. Ndio mana nina penda kukuambia kua kampuni ina bidhaa bora jaribu kuchunguza kampuni zote zinazofanya MLM hapa Tanzania. Hazina tuzo hii ya GMP nina uhakika bidhaa ziko kutimiza malengo ya mteja na mfanya biashara anae taka kutimiza ndoto.
Mwaka 2010 kampuni hii iliweka mikakati kuja kuisaidia AFRICA katika nyanja ya KIUCHUMI na kutokomeza MAGONJWA SUGU. Ndugu yangu kama wewe unahitaji pesa na kutimiza ndoto karibu utumie bidhaa hizi.-
Kampuni hii ilikaa chini na kupanga MIKAKATI chini ya usimamizi wa Ndug ZHANG SIMIN ambaye ni kijana mdogo aliyezaliwa mwaka 1969 na ni tajiri mkubwa sana china na anae miliki kampuni kubwa bora china nzima.-
Bwana ZHANG SIMIN alikaa chini na kuangalia makampuni mengine yaliyoko africa yalikuja na mtazamo gani na udhaifu gani katika bidhaa na biashara. Iliingia africa ikajenga makao makuu kila kanda GHANA,SOUTH AFRICA,KENYA,TANZANIA na Ikasambaa nchi zingine.

MAREKEBISHO YALIYOFANYWA NA KAMPUNI YA NEPTUNUS AMBAYO WATU BADO HAWAJAGUNDUA.
Watu wengi tunajiingiza katika biashara ya mtandao bila kutengeneza msingi mzuri wa biashara na bila kuchunguza kampuni unayofanya nayo kazi. Leo hii nakupa siri ya utajiri iliyopo neptunus haijagundulika.

1. Ni kampuni ambayo inatengeneza dawa katika package za kisasa yaani SOFT GEL,CAPSULES,TABLETS. Dawa zote hizi zinatokana na mimea, matunda,samaki,na mboga mboga. Hizi ni 100% natural hazina chemical kabisa pia hawatumii vyakula na matunda ya kutengenezwa. Wanatumia mimea asilia. Hatuna MAJI,MAJANI YA CHAI NA BIDHAA ZINGINE ZA KUONGEZA MAUMBILE.

2. Ni kampuni ya pekee yenye DAWA -kabisa za kutibu magonjwa TABIA wakati kampuni zingine zote zina VIRUTUBISHO TU. Njoo utumie dawa zetu kufanya biashara hakika HUTAJUTA. Dawa zetu zipo nyingi kila dawa na ugonjwa wake.-

3. Ni kampuni ya pekee unaweza kutumia shilingi 26000 na ukaanza kufanya biashara yako kwa kuingia ubia na kupewa ruhusa ya kufanya kazi na kampuni ya neptunus. Kampuni zingine zina gharama kubwa hivyo ndio mana ika amua ije na mfumo huu. Pia unaweza kununua bidhaa hata moja moja sio package tu kama makampuni mengine.

FAIDA YA KUWA MSAMBAZAJI WA BIDHAA HIZI NA KUWA MFANYA BIASHARA WA MLM.

Watu wengi sana wamekata tamaa na biashara hii ya MLM hii ni kwa sababu ya kukosea kampuni ya kufanya nayo kazi. Sasa leo nakwambia uhondo wa neptunus karibu sana tufundishane.
1. Ukisha jiunga utaruhusiwa kutumia bidhaa za neptunus kuuza kwa watu na kujipatia faida ya reja reja 20%
2. Unaruhusiwa kudhamini watu wengi kadri uwezavyo kwani hao watu watalipwa na kampuni sio wewe. Hivyo wewe toa elimu kadri uwezavyo na uwafundishe hao wafanye biashara. Kampuni hii itakulipa kwa watu ulio wadhamini kwenye biashara kama manager wa team yako.
3. Utalipwa bonus kila mwisho wa mwezi asilimia 5-45 ya PESA ULIYOTUMIA KUNUNUA BIDHAA MWEZI HUO WEWE MWENYEWE. Pia utalipwa asilimia 0-45 ya pesa ambayo team yako imetumia kununua katika mwezi huo. Hapa ndipo kuna utamu rahaaaaaa ndugu zangu. Hivi kweli ndoto zako za kuwa manager zinatimia kwa kutumia 26000/--
4. Kampuni hii kadiri unavyopanda cheo itafikia kipindi unapunguza nguvu za kununua mzigo. Kwa mfano kampuni zingine kadri unavyokua na kipato kikubwa na gharama za kukaa katika level zinaongezeka.

5. Pia masharti ya kupanda level na kuongeza kipato ni marahisi kabisa hata mtu mwenye kipato kidogo anaweza kufanya biashara akafanikiwa.

6. Pia kampuni itakulipa milioni 20 kama kiinua mgongo kwa kufanya kazi ndani ya mwaka mmoja na ukafika ngazi ya 7.
7. Pia kampuni itakupa kiinua mgongo tena cha shilingi milioni 40 ukifanya nayo kazi kwa miaka miwili na ukafikia level 8.

JUMLA YA KIINUA MGONGO CHAKO NI MILLIONI 60 NDANI YA MIAKA 2
HII PESA NI MBALI NA BONUS NA FAIDA YA REJAREJA.

BIDHAA ZAKUFANYIA BIASHARA UNAPOINGIA UBIA NA KAMPUNI
~Bidhaa za urembo(sabuni,lotion na scrub,smoothing tonner,mask,body wash,anti bacterial hand wash,lady intimate wash,pads na tooth paste etc)
~Bidhaa za watoto(Baby wipes,dipers na sabuni)
~Bidhaa za afya(Virutubisho na dawa)
~Bidhaa za electronics(Power bank,vibro shape belt,Magnetic resonance imaging,phones nk)
~Bidhaa za kilimo(Mbolea)
HIVYO NI JUKUMU LAKO KUCHAGUA UNATAKA KUFANYA BIASHARA KUTUMIA BIDHAA GANI


-Neptunus imejaa watu wa aina zote,wasomi,wasiosoma,wafanyabiashara na watu wa kila rika,vijana.Binafsi ni mwajiriwa lakini kampuni imenipa awards mbalimbali kwa kufanya nao muda wa ziada,zikiwemo safari za kimataifa,na zawadi zingine.Je wewe unafikra potofu kuwa huwezi kufanikiwa kisa una haya
~Elimu ndogo
~Huna mshahara au mtaji
~Mama wa nyumbani
~huna elimu ya afya.

ACHA FIKRA POTOFU NEPTUNUS KUNA MAFUNZO MAALUMU HUTOLEWA NDIO MAANA WATU WAMEFANIKIWA NA WANAENDELEA KUFANIKIWA.

Watu wengi tunaangalia kampuni inayosifika kwa mabaya ndio maana kila mtu haipendi.
NEPTUNUS TANZANIA CO LTD-ndio kampuni itakayotimiza ndoto zako.

NJOO TUJIFUNZE KAMA KWELI UNA NDOTO KUBWA ZA MAISHA YAKO NA UMECHUKIA MAISHA YAKO UNAYO ISHI NAYO

~SIHITAJI MTU MWENYE NDOTO NDOGO ZA MAISHA

Kama kweli unapenda kubadilisha maisha yako kwa hiyo pesa ya 26000 njoo utatimiza ndoto ndani ya malengo yako. Watu wengi tunazikimbia fursa na KUSEMA MAISHA NI MAGUMU.Karibu ujifunze na Maisha yako hayatakuwa Kama yalivyokuwa.
 
Well, brother. I encourage you to think. There is more POSSIBILITIES are presented to take success in MLM business. Whether we can not judge Every business is good or bad. It will run Based On that site Owners and Customers. When we found a new MLM plan, then we can be away from scam.
 
Back
Top Bottom