Multibillion rail project connecting SGR to Uganda border approved

Huo ndio ujenzi sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli ni hasira wala sio wewe, haya tuonyeshe huo ulikua ujenzi wa berth
Jamaa anajua ukweli lakini anajitia hamnazo. Na tabia kama hizi ndio huwa sipendi. Kibaki na marais wa Ethiopia na South Sudan walizindua Lapsset mwaka wa 2012. Lapsset sio Lamu port pekee bali inajumulisha miradi mingi ikiwemo pipelines, railway, port, road, airport, e.t.c. Hapo walikuwa wanazindua plan tu, hakuna ujenzi uliofanyika hapo.

Ujenzi wa Lamu port ulizinduliwa mwaka wa 2016 na Rais Kenyatta. Mwaka wa 2014 ndio Environmental assesment study ilikamilika.
Yaani wivu wa huyu jamaa itakuja kumuua siku moja. Kwenye tovuti ya Lapsset wameandika timeline na hater Geza Ulole bado anajifanya mjinga.

Kaka kama nimewaelewa vizuri, hii ni connection link ya Naivasha Internal container Depot (ICD) and the Longonot railway link.
Acha tusubiri mda, huenda ukatujuza mengi kuhu hili.
 
Kaka kama nimewaelewa vizuri, hii ni connection link ya Naivasha Internal container Depot (ICD) and the Longonot railway link.

Treasury CS Ukur Yatani, in the supplementary budget for 2020/21, allocated funds for the line connecting Naivasha - Malaba to the standard gauge railway amounting to Ksh 3.7 billion.

Acheni kujipa matumaini ambayo hayapo. Rudieni kusoma hiyo para hapo juu ambayo ni ya 2 kwenye article.
Sema shida kiingereza kinawasumbua. Hizo para 2 na 3 ziko very clear kwamba mlinyimwa mkopo ndiyo maana mmeanza kuweka bajeti ya hizo hela zenu za miti na kuunga unga.
Definitely kenya cannot implement even a micro millimetre using own (source) financing coz it's not her culture. Miradi yote lazima bakuli lizungushwe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wishful thinking.
Huo uwezo hamna wa kujenga na FEDHA zenu.
[emoji23][emoji1787][emoji3]
Tuna uwezo wa kuwekeza $4b kw elimu lkn hatuwezi weka sifa yakuwekeza hela hyo hyo kw mradi km SGR.

Yani itakua ni upumbavu wa hali ya juu, capitalist haharibu hela za kwake kijingajinga na wakati mikopp ipo.
 
Tuna uwezo wa kuwekeza $4b kw elimu lkn hatuwezi weka sifa yakuwekeza hela hyo hyo kw mradi km sgr..
Yani itakua ni upumbavu wa hali ya juu, capitalist haharibu hela za kwake kijingajinga na wakati mikopp ipo

Basi mtulie kusubiria boss wako MK254 kama ataleta habari njema nyingine.
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Mikopo kama ipo. Soma para ya 3 ya article kama kuna mtu atawakopesha kwenye mradi huo. Mchina akikataa kukukopesha ujue hamna mtu mwingine atakupa pesa.
 
Mbona huwa unateseka hivi yakhe, hadi unatia huruma, kama nakuona unavyovimba mishipa usoni...hehehe
Nakupa darasa ndogo
Tuna reli kutokea Longonot hadi Malaba
Tuna SGR kutokea Mombasa hadi Naivasha
Sasa ili kuunga Naivasha iteleze hadi Malaba, tulichohtaji ni kujaza hili pengo la kutokea Naivasha hadi Longonot....
Baada ya hapo tutakua tuna reli iliyokamilika ya Naivasha - Malaba
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Anayeteseka ni huyu hapa.
Go to para 3 of the article.

πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

The burden shifted to Kenyan taxpayers after the government was not able to secure the multibillion loan from China to kickstart extend the SGR line to Kisumu.
 
Tutakopa na bado tutaendelea kukopa, kumbe mnaumwaee
 
Kha sasa Huko umekimbilia ni wazi unazidi kuhangaika na kuteseka bure.......tafuta mtu akutafsirie hicho kingereza vizuri na uelewe maana yake vizuri "dayaspora" wa Buza asiyejua kingereza...hehehehe
 
Even a railway line to Addis Ababa n oil pipeline from Juba were signed!

Isiolo resort city too
 
Halafu unaona mijitu mipuuzi inapinga SGR ya Tanzania.
 
Kha sasa Huko umekimbilia ni wazi unazidi kuhangaika na kuteseka bure.......tafuta mtu akutafsirie hicho kingereza vizuri na uelewe maana yake vizuri "dayaspora" wa Buza asiyejua kingereza...hehehehe

Narudia tena. Kutojua kiingereza kwenu kumekuwa mzigo. Eti ona muandishi wenu anavyoonesha ukanjanja wa hali ya juu.

Ngoja leo niwafundishe kitu kinachoitwa πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜ "context analysis".

The burden shifted to Kenyan taxpayers after the government was not able to secure the multibillion loan from China to kickstart extend the SGR line to Kisumu.

Muandishi wenu pamoja na nyie wengine mnaona na kudhani kuwa mkopo siyo mzigo kwa wakenya. Ila kutumia fedha za ndani ndiyo mzigo kwa wakenya. Ndiyo maana mnakopa mpaka mataifa kama China wanaogopa kuwakopesha. Maana wanajua kinachofuata ni ku foreclose your key national own source revenue.

From now onwards you have to understand that:
Loans = own source revenue = burden to Kenyans.
Do not think that loans are just free lunches. Are deferred payments. Postponed pinch and burden.
Need to say more???
 
Tutakopa na bado tutaendelea kukopa, kumbe mnaumwaee

Hamna atakayewakopesha kwa sasa.
Soma hii para 3 from the article.

The burden shifted to Kenyan taxpayers after the government was not able to secure the multibillion loan from China to kickstart extend the SGR line to Kisumu.
 
Hamna atakayewakopesha kwa sasa.
Soma hii para 3 from the article.

The burden shifted to Kenyan taxpayers after the government was not able to secure the multibillion loan from China to kickstart extend the SGR line to Kisumu.
Nakwambiaee, kukopa tutakopa tu
 
Afadhali iwaume lkn kukopa tutakopa tu[emoji1787][emoji1787]
 
Afadhali iwaume lkn kukopa tutakopa tu[emoji1787][emoji1787]

Soma hii para 3 ya article uone ni kina nani wanashushiwa nyundo ya utosi ya madeni.

πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
The burden shifted to Kenyan taxpayers after the government was not able to secure the multibillion loan from China to kickstart extend the SGR line to Kisumu.
 
Kwn hutaki pesa za walipa kodi zijengewe[emoji1787][emoji1787]
We mpuuzi nini, ama huelewi kingereza..
Pia vile vile swala la kukopa lipo pale pale
 
Kwn hutaki pesa za walipa kodi zijengewe[emoji1787][emoji1787]
We mpuuzi nini, ama huelewi kingereza..
Pia vile vile swala la kukopa lipo pale pale

πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£
I can now see, your jab has reached kunako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…