Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Nimepinga kitu gani mmKwn we ilikua unapinga nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepinga kitu gani mmKwn we ilikua unapinga nn
Kwn weye hujisifii kisukuma
Huu ndio utopolo niliokuwa namaaisha, hakuna lugha mwaijua kiufasaha labda kijaluo,. Na mnakoelekea itabidi muweke tigo rehani. Kama dhamana ya kuchukua mkopo,Wape hi kenge wa chato
Even a railway line to Addis Ababa n oil pipeline from Juba were signed!
Isiolo resort city too
Povu la kupewa nondo zenye ukweli! Hata video ya project launch ipo! Kiir n late Zenawi walihudhuria wakikaribishwa na Kibaki! Lamu port is in its 11th year not done!Wewe usiwahi kunimention. Nimeona uko na ujinga sana. Sina muda na watu wajinga.
Hata ECOP limesainiwa na kuzinduliwa mara nyingi Sana utekelezaji hakunaKshs 3.7 bln is equivalent of Tshs 74 bln which is around $32 mln! That's peanuts! Tanzania will sign another SERVER project in July after the US$ 1.3 bln for Mwanza-Isaka signed in January!
Povu la kupewa nondo zenye ukweli! Hata video ya project launch ipo! Kiir n late Zenawi walihudhuria wakikaribishwa na Kibaki! Lamu port is in its 11th year not done!
Inakuwaje project ikawa launched kabla tena on invitation of two presidents? Au mnatufanya sie wajinga?
2012 lapsset project plan was launched. (Plan includes construction of railways, pipelines e.t.c) Also construction of Lapsset HQ offices and police station was launched on the same day by Pres Kibaki and other presidents.Inakuwaje project ikawa launched kabla tena on invitation of two presidents? Au mnatufanya sie wajinga?
Media yenyu imesema vingine!2012 lapsset project plan was launched. (Plan includes construction of railways, pipelines e.t.c) Also construction of Lapsset HQ offices and police station was launched on the same day by Pres Kibaki and other presidents.
2016 construction of Lamu port berths 1,2 and 3 and dredging works was launched by Pres Uhuru.
View attachment 1702049View attachment 1702050
Hii kampuni ya Kichina ilisign contract ya kujenga hizo berths tatu mwaka wa 2014. Soma number 2 kwenye hio list hapo juu. So hio 2012 unayodanganya watu nayo hata contractor hakuwa amepatikana.
Halafu baada ya hio contract kusainiwa 2014, Enivironmental impact assesment ikaanza kufanywa hio 2014 na pia kampuni hii ya kichina ikaanza kufanya detailed engineering studies ya the 3 berths in 2014. Baada ya EIA kutoka na baada ya detailed engineering studies kukamilika na baada ya contractor kumobilise equipments on site (6 months mobilisation) ujenzi ukaanza mwaka wa 2016.
Media yetu ipi? Hii NTV inayokiri kwamba ujenzi wa gati tatu bado haujaanza mwaka wa 2015 Mei? Kuna hii video ya NTV nakuwekea utazame na video ni ya Mei 2015. Na kwenye video NTV inaonyesha wazi mahali ambapo gati inastahili kujengwa na unaweza kuona kwamba ujenzi bado haujaanza. Mahali hapo ni empty hata contractor hayuko kwenye site.Media yenyu imesema vingine!
Mjaluo ni haki yake kujua kijaluo kw ufasaha zaidi kuliko kiswahili[emoji1787]Huu ndio utopolo niliokuwa namaaisha, hakuna lugha mwaijua kiufasaha labda kijaluo,. Na mnakoelekea itabidi muweke tigo rehani. Kama dhamana ya kuchukua mkopo,
Media yetu ipi? Hii NTV inayokiri kwamba ujenzi wa gati tatu bado haujaanza mwaka wa 2015 Mei? Kuna hii video ya NTV nakuwekea utazame na video ni ya Mei 2015. Na kwenye video NTV inaonyesha wazi mahali ambapo gati inastahili kujengwa na unaweza kuona kwamba ujenzi bado haujaanza. Mahali hapo ni empty hata contractor hayuko kwenye site.
Tazama jinsi eneo ambalo gati linastahili kujengwa jinsi ni empty in 2015. Hata contractor hayuko na ujenzi bado haujaanza
View attachment 1702058View attachment 1702059View attachment 1702061
Na kama bado unapinga kwamba hii video ni ya 2015, tazama hapa chini
View attachment 1702082
Mzee kama huna facts usiwe unapingana na mimi.
Nimekupa video inayoonyesha kuwa by 2015 mradi haukuwa umeanza. Nini ingine unataka? Umeshashindwa debate. Tulia, ukishindwa kubali.Unataka facts za project launch with a placard?
Unazungumza ni kama una ujuzi mkubwa sana wa kuweka tigo kwenye rehani? Wanaume wangapi wamepita na tigo lako?Huu ndio utopolo niliokuwa namaaisha, hakuna lugha mwaijua kiufasaha labda kijaluo,. Na mnakoelekea itabidi muweke tigo rehani. Kama dhamana ya kuchukua mkopo,
Mradi kuanza si ndo official launch ya Kibaki, Kiir na late Zenawi?Nimekupa video inayoonyesha kuwa by 2015 mradi haukuwa umeanza. Nini ingine unataka? Umeshashindwa debate. Tulia, ukishindwa kubali.
Nimeshakuambia mara nyingi uhudhurie darasa la kingereza hapo Buza, itakusaidia sana kwenye kutafsiri taarifa za nje ya Tanzania, ili uache hizi tabia za kuteseka na kubwabwaja hovyoo.....dayaspora wa Buza hehehe
Tunarudi pale pale kwa debate yako na joto la jiwe kuhusu project management phases. Ujenzi wa mradi unaanza lini?Mradi kuanza si ndo official launch ya Kibaki, Kiir na late Zenawi?
Hoja kwishaa[emoji1787][emoji1787]
Hutaki tukope na pia vile vile hutaki tutumie pesa za walipa kodi, tafuta kenge ukambusu labda akili zako zitarudi.
Kingereza babu, kapate darasa la kingereza maana umechanganyikiwa unaandika andika tu haujui unapinga nini...hehehehe!!! Huwa unachekesha....😀😆😁
Ze kenyaz level of thinking. Only own source revenue is taxpayers burden, but the loan is defined as a free lunch. Poleni wakenya. Uzuri hamna mtu atakayewakopesha hela kwa ajili ya hiyo project. Kama kiingereza shida ask someone to digest for you. 😀😆😁🤣😂
Kingereza babu, kapate darasa la kingereza maana umechanganyikiwa unaandika andika tu haujui unapinga nini...hehehehe!!! Huwa unachekesha....
Hebu ona mlivyo, hamjui mchague ipi full kuchanganyikiwa Tujikite kwenye Kiswahili au tujifunze lugha zakimataifa?