hunifunzi mimi kwenye hili! As a matter i was the one that gave u an insight! Simple what is the meaning of a project launch? Listen at 0.38 min!Tunarudi pale pale kwa debate yako na joto la jiwe kuhusu project management phases. Ujenzi wa mradi unaanza lini?
A) pale ambapo plan au concept au manifesto inapozinduliwa (project planning phase)
Au
B) Pale ambapo contractor anapowasili kwenye site na kuanza ujenzi (yaani construction phase).
Joto alikuwa anasema kuwa ujenzi unaanzia rasmi kwa project planning phase. Yaani tatizo ya hili wazo ni kwamba tukilifuatilia kwa ukamilifu itatubidi tuseme kwamba ujenzi wa EACOP ulianza miaka miwili iliopita maana japo contractor bado hajafika kwenye site bali planning ilishaanza na hata Environmental Impact assesment imeshafanywa na land compensation imeshafanywa.
Wewe kwa upande mwingine ulikuwa unasema kwamba ujenzi wa mradi unaanza tu pale contractor anapoanza ujenzi.
Sasa umebadilisha msimamo. Wewe jua tu ikiwa ujenzi wa Lamu port berth 1,2 na 3 ulianza 2012 basi ujenzi wa EACOP nao ulianza 2017.
View attachment 1702279
|
|
|
| The Heads of State laying the foundation stone for the administrative building of the port | President Kibaki leads his colleagues in planting a tree |
|
|
|
| The Three Heads of State read the placard that commemorates their joint launch of LAPSSET. | President Salva Kiir, President Kibaki and Prime Minister Zenawi salute the crowds after the launch of LAPSSET |
|
| |
| The Three presidents raise their national flags |
|
|
|
| Aerial view of the proposed Lamu port site | The routing of the corridor |
Mkopo sio pesa zetu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Uwezo wa kufikiri. Kwa hiyo mkopo siyo pesa ya walipa kodi???
[emoji3][emoji16][emoji38]
Ambaye linamuhusu ni huyu hapa
[emoji1427][emoji1427][emoji1427]
The burden shifted to Kenyan taxpayers after the government was not able to secure the multibillion loan from China to kickstart extend the SGR line to Kisumu.
The burden shifted to Kenyan taxpayers after the government was not able to secure the multibillion loan from China to kickstart extend the SGR line to Kisumu.
Na hela zenu za miti ya kuunga unga. Before the contractor quoted KES 53.7 Bio to implement the project. Sasa angalia maajabu ya Kenya, GoK wamekuja na Kes 3.7bio for the very same project.Kingereza dayaspora wa Buza...kapate darasa ili ufikie hadhi ya kujadili hoja yoyote na Wakenya.
Wewe ndio utaacha ujinga. Pumbavu kabisa. Amini unachotaka. Sina muda na mtu mjinga kama wewe.hunifunzi mimi kwenye hili! As a matter i was the one that gave u an insight! Simple what is the meaning of a project launch? Listen at 0.38 min!
LAPSSET Launched in Lamu
On 2nd March, 2012, H.E President Mwai Kibaki,H.E Prime Minister Meles Zenawi and H.E President Salva Kiir jointly launched the Lamu Port in Mokowe-Lamu on the Indian Ocean coast.
The Three presidents shake hands to symbolise a unity of purpose in the project.
The port is part of the Lamu Port -South Sudan-Ethiopia (LAPSSET) project. Dubbed the most ambitious infrastructural undertaking on the continent, at an estimated cost of some $25bn, the project is a vital transport and economic development corridor for the region. Although it has commenced with three countries, LAPSSET is envisaged as a bridge that will link the Indian Ocean side of the continent to the Atlantic coast and to the north it links into the Northern Corridor into Djibouti, Sudan and Egypt.
The LAPSSET project comprises 32 port berths connected to the region by thousands of kilometres of new rail tracks, pipeline and a highway. This corridor will also have 3 resort cities, a number of airports, and a manmade dam (the grand dam).
Among those who witnessed this historic event was Amb Monica Juma and Amb Cleveland Leshore, Kenyaβs Ambassaor to South Sudan, Ministers, Members of Parliament, including those from Lamu and other high level officials from the three countries.
The Heads of State laying the
foundation stone for the administrative
building of the portPresident Kibaki leads his
colleagues in planting a tree
The Three Heads of State read
the placard that commemorates
their joint launch of LAPSSET.President Salva Kiir, President Kibaki and
Prime Minister Zenawi salute the crowds
after the launch of LAPSSET
The Three presidents raise
their national flags
Aerial view of the proposed Lamu port site The routing of the corridor LAPSSET Launched in Lamu - The Embassy of The Republic of Kenya, Addis Ababa, Ethiopia.
On 2nd March, 2012, H.E President Mwai Kibaki,H.E Prime Minister Meles Zenawi and H.E President Salva Kiir jointly launched the Lamu Port in Mokowe-Lamu on the Indian Ocean coast. The Three presidents shake hands to symbolise a unity of purpose in the project. The port is part of the Lamu Port...www.kenyaembassyaddis.org
MY TAKE
Tony254 wacha upumbavu!
Na hela zenu za miti ya kuunga unga. Before the contractor quoted KES 53.7 Bio to implement the project. Sasa angalia maajabu ya Kenya, GoK wamekuja na Kes 3.7bio for the very same project.
Nchi ya vichekesho.
πππ€£
The government had earlier on partnered with a private investor to finance the project under a Chinese contractor but later on, bailed after the contractor tendered an extra Ksh50 billion. This stalled the project that was to be completed in eight months.
Wala sidhani kama itakugharimu hela nyingi kupata darasa la kingereza ili uache kuendelea kuteseka, tafuta hata mkopo...hehehe hadi raha, lugha huwatesa bana.
Nakuhakikishia utafikia hadhi ya kusklizwa na Wakenya kinyume na unavyopuyanga humu.
Kumbe kuwa mkenya ni mzigo, yaani ili uwe diaspora lazima ujuwe kiingereza.
π π π
Kuwa Mkenya sio kazi rahisi kwa mzembe kama wewe usiyejua kingereza, lazima ujiongeze kielimu ili kidogo uwe hata na uwezo wa kuongea na mtoto wa chekechea kwetu huku....hahahaha
Huyu ndiyo rafiki yenu
πππ
The burden shifted to Kenyan taxpayers after the government was not able to secure the multibillion loan from China to kickstart extend the SGR line to Kisumu.
Hadi ukeshe ukisoma kwa bidii na kujiboresha kingereza, hautafikia level ya Wakenya, miaka yote hii unahangaika ukifuata Wakenya humu na bado haujajua kingereza.
π π π
Look at the kiingereza people who will bear the burden of sgr kenya.
View attachment 1702953