Mulugo&mkurugenzi elimu atoa neno heslb

Mulugo&mkurugenzi elimu atoa neno heslb

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
baada ya uhuni wa HESLB kuandikia watu vitu vya ajabu mf.wale wa diploma na pia hawa wa direct entry(form six) kuwa incomplete form application huku wakisahau kuwa walitoa majina ya waliokosea na kuna walioenda kuweka sawa ila kwa xaxa nao incomplete form application so huu ndio uhuni gani na hadi kuanza kuandika reason kama umekosa ni dhuluma tu wamekuja na sababu zao za kihuni hii yote ni baada ya kuona tumeanza kwenda hadi kwa Waziri mkuu na pesa wameweka kwenye miradi yao tayari wanataka watumie mbinu za kitoto kukatisha watu tamaa ila baada ile hali binafsi nilichukuwa uamuzi wa kumtafuta Mh Mulugo na Mkurugenzi wa Elimu ya juu nikawambia kuhusu mbinu chafu kama hizi wakadai watafuatilia kujua ukweli wake na jana niliongea nao binafsi ninachokiona ni siasa chafu ktk suala hili la watu waliokosa mkopo lakini hata kama HESLB imefanya huo uhuni bado jana jioni niliwambia j3 kama kawaida tutaenda wizarani tupewe utaratibu wa kwenda vyuoni kwani ndio makubaliano tuliyofikia kule kwa Waziri mkuu,enjoy
 
safi sana bro nakuomb unitafute ili 2shilikiane bro nicheki kwenye 0753225391 ili 2ongeze nguvu bro
 
bwana matiku,hata mimi nitashukuru kama 2taungana wote.nichek 0782822716
 
0759824023 hapa ni bora wakasema lingine ila sio uzushi wa kuandikia watu vitu vya ajab ajab
 
watupe jibu mapema vyuo vinafunguliwa,yan c hatutak kupelekeshwa kama wa2 2sio na akili. 2pewe haki ye2 wa2 2na vigezo
 
not eligible ati nimemaliza form six 2009 na hiki pia ni kigezo licha ya kuwa ni Yatima!
 
Hahahahahahahahahahahah kesho mpka kieleweke msisahau tindikali
 
duh ata mimi nimeona ni kamchezo cha kijinga sana eti wanaandika kama umemaliza diploma au form six miaka mitatu nyuma haustahili ata kuomba mkopo sasa kama ndio hivyo why hawakuweka ayo maneno kabla sijaanza kufanya taratibu za kuomba? na kwa mfano nilionao kuna waliomaliza miaka minne nyuma wamepata tena awamu ya kwanza tu walivyotoa ayo majina jamaa wamepata nashangaa baada ya kuona watu wana hasira ndio wamekuja kuandika hivi aya sasa wale waliowapa watawapokonya?...Dah inauma sana aisee yaani awa jamaa inaonekana wameshagawana pesa zetu
 
Unajua ukifanya ujinga kila siku,,mungu siku moja anakuumbua,,,hawa jamaa awama vigezo vyovyote vya kwa nin watunyime mkopo,,wizi mtupuuuuuuuuuu,,,angaliahiyo,,You were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:NOT ELIGIBLE FOR LOAN, COMPLETED FORM SIX/DIPLOMA MORE THAN THREE YEARS BACK.wizi wa waziiiiiiii,,,tukomae wakuu,,juz nilikuwepo pale heslb,,,eti wanatishia kwamba ata kama mtaenda kwa mkuu wa nchi,,mambo ni yaleyale,,,hiyo ni kumtishia nyau panya,
 
kesho kama kawa pale bustani posta tukachukue suluu ikulu jamani tuwe wengi wadau saa 2 asubui
 
Katibu wa wizara alituhad kulishughulikia suala hili,na leo jumatatu tarehe 07/10/2013 wangetoa tamko kama hkshndkana akadai turud jumanne tarehe 08/10/2013.hvyo kesho wizara wakizingua tena mguu kwa mguu kwa KWIKWETE huyo wanaedai hawamwogopi,ikishndkana tarehe kumi tupelekekilio chetu kwenye mkutano wa jangwani.vyama vya upinzani.
 
Mliokosa mkopo....

Huu muongozo wa ndg. Rwankomezi ni mzuri,unganeni mpate chenu,inaonekana fwedhaaa zipo sema wanazibana makwapani....

Chamsingi kuweni na nidhamu,kupata haki yenu,musitukana (kauli chafu),musiharibu mali,musichafue amani nk nk....

Huyu jamaa niliyemquote ana kitu kizuri cha kuwaleteeni matamanio yenu....

All the best wandugu....
 
Last edited by a moderator:
haki ya mtu haidhulumiwi hata siku moja tukomae tuuuuuuuu hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom