kwa upande wangu c dhani kama ana ule uthubutu wa kukemea mambo!!!kwani muda mwingi huwa naona ni mtu wa kulalamika tu na ukizingatia na ile sauti yake,sitegemei utofauti wowote mkubwa na mulugo.
Hhyu mama kidogo anaahueni na anaweza kuunganisha muungano uliozaa tanzania kuwa ni tanganyika na zanzibar na siyo zimbwabwe na pemba
Yupo DAVOS, Switzerland Tangu asubuhi ya leo.Nje ya Mada tafadhari kuna mtu anaweza nidhibitishia kuwa Raisi wetu kwa sasa yupo nchini???
πray:πray:πray:πray:
Nje ya Mada tafadhari kuna mtu anaweza nidhibitishia kuwa Raisi wetu kwa sasa yupo nchini???
πray:πray:πray:πray: