Mulugo vs J. Mhagama.

Mulugo vs J. Mhagama.

Nilitegemea mulugo kuwa waziri kamili wa hii wizara baada ya kawambwa kuwa mzigo kumbe ndo katupwa.
historia hii!!!
 
sikubaliani na wewe japo si sana, Ruvuma si kanda ila ni mkoa, ila kama ni kikanda basi kanda ya ziwa imezidi katika hii hii cabinet: Maghufuli, Kitwanga, Kamani, Kebwe, Wassira,Kabaka,tibaijuka,Maselle, Muhongo,etc
Magharibi: Sitta (Tabora)
Kati: Nyalandu,Mwigulu,Nkamia,Simbachawene,
Mashariki: Mahanga, Kawambwa,Kigoda,Kombani
Kusini:
Mhagama ndo anawakilisha Ruvuma baada ya Nchimbi,si unajua JK anachagua kikanda
 
Huyo Mulugo mwenye madegree amefanya nini?? Tumjudge mtu kutokana na uchapakazi wake.
 
Tofaut ni kwamba mhagama ana diploma na mulugo ana bachelor

Diploma replacing Bachelor, hii hatariiii..............ila watu wa diploma na certificate ni watenda kazi, tatizo ni management, labda experience itamkomboa.
 
Nilitegemea mulugo kuwa waziri kamili wa hii wizara baada ya kawambwa kuwa mzigo kumbe ndo katupwa.
historia hii!!!

Kawambwa anajihusisha na masuala ya elimu ya juu, ndio maana kasalimika.
 
sikubaliani na wewe japo si sana, Ruvuma si kanda ila ni mkoa, ila kama ni kikanda basi kanda ya ziwa imezidi katika hii hii cabinet: Maghufuli, Kitwanga, Kamani, Kebwe, Wassira,Kabaka,tibaijuka,Maselle, Muhongo,etc
Magharibi: Sitta (Tabora)
Kati: Nyalandu,Mwigulu,Nkamia,Simbachawene,
Mashariki: Mahanga, Kawambwa,Kigoda,Kombani
Kusini:

Unafahamu population ya kanda ya ziwa? Na this time hatutajali mambo au maneno yenu ya ukabila. Hata ngereja tutampa urais wa nchi hii. Tumechoshwa na ----- wenu.
 
Diploma ni elimu makini sana na atafanya kazi nzuri. Rais ameshafanya utafiti na kugundua kwamba utendaji wa kazi hautegemei sana idadi ya digrii, and some of degree holders have become the so called 'mawaziri mizigo'

Kwa kawaida watu wa diploma/ certificate ni wachapa kazi, tatizo lao ni management ila experience huwa inawabeba.
Kiukweli J. Mhagama kazi anayo.
 
Diploma replacing Bachelor, hii hatariiii..............ila watu wa diploma na certificate ni watenda kazi, tatizo ni management, labda experience itamkomboa.

Diploma na degree zote ni vyeti tu. Tatizo hapa ni uwezo wa mtu. Kama ana uwezo wa kuongoza na wisdom ya kutosha hata kama angekuwa form four angeweza ili mradi awe anajua mambo. Kama ni zero hata angekuwa na masters basi asingeweza. Elimu ni muhimu kuliko shule. Sijui kama nitaeleweka kirahisi. Education is better than school!!!
 
Kwa kawaida watu wa diploma/ certificate ni wachapa kazi, tatizo lao ni management ila experience huwa inawabeba.
Kiukweli J. Mhagama kazi anayo.

Wewe upo karibu na Mulugo na umeuliza hii kujua watu wanasemaje. Hakuwa mchapa kazi ndio maana katolewa full stop. Hiyo ya zim na pem... Mnaitumia tu ila wangapi kwa kabinet wameongea madudu.
 
Wewe upo karibu na Mulugo na umeuliza hii kujua watu wanasemaje. Hakuwa mchapa kazi ndio maana katolewa full stop. Hiyo ya zim na pem... Mnaitumia tu ila wangapi kwa kabinet wameongea madudu.

Kwa mujibu wa Mulugo, naibu waziri wa elimu anajishughulisha na taasisi zote za elimu kuanzia kindagate mpaka form six, na taasisi za elim kama vyuo vyote vya diploma na certificate.

Kwa changamoto zilizopo katika hili eneo, J. Mhagama ni super-sub?
Tatizo sio vyeti wala nn, kikubwa uwezo wa mtu, ila mara nyingi tunaamini mwenye level ya juu kielimu anauwezo mkubwa kiutendaji akiwa mahali pake ( area of specialization)
 
!
!
shida ni hapo kwenye red tu....hana uwezo wa kufanya utafiti, mfano alisema kuongezeka kwa foleni barabarani ni kukua kwa uchumi, lakini pia aliwahi kusema kuwa hajui kwa nini wananchi ni masikini. Zipo zaidi ya mia kuonesha kuwa katika red hayuko sawa. Sio yeye wala wasaidizi wake.

Diploma ni elimu makini sana na atafanya kazi nzuri. Rais ameshafanya utafiti na kugundua kwamba utendaji wa kazi hautegemei sana idadi ya digrii, and some of degree holders have become the so called 'mawaziri mizigo'
 
ngereja, hata wewe ni watanzania, chukueni form tu mtachaguliwa, wala usihofu
Unafahamu population ya kanda ya ziwa? Na this time hatutajali mambo au maneno yenu ya ukabila. Hata ngereja tutampa urais wa nchi hii. Tumechoshwa na ----- wenu.
 
Back
Top Bottom