Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Jenista Mhagama amechukua nafasi ya Mulugo, je substitution hii ni super sub?
Tofaut ni kwamba mhagama ana diploma na mulugo ana bachelor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jenista Mhagama amechukua nafasi ya Mulugo, je substitution hii ni super sub?
Mhagama ndo anawakilisha Ruvuma baada ya Nchimbi,si unajua JK anachagua kikanda
!
!
kumbe ana diploma tu,duh
Tofaut ni kwamba mhagama ana diploma na mulugo ana bachelor
Inamaana rais hayupo???
sikubaliani na wewe japo si sana, Ruvuma si kanda ila ni mkoa, ila kama ni kikanda basi kanda ya ziwa imezidi katika hii hii cabinet: Maghufuli, Kitwanga, Kamani, Kebwe, Wassira,Kabaka,tibaijuka,Maselle, Muhongo,etc
Magharibi: Sitta (Tabora)
Kati: Nyalandu,Mwigulu,Nkamia,Simbachawene,
Mashariki: Mahanga, Kawambwa,Kigoda,Kombani
Kusini:
Diploma ni elimu makini sana na atafanya kazi nzuri. Rais ameshafanya utafiti na kugundua kwamba utendaji wa kazi hautegemei sana idadi ya digrii, and some of degree holders have become the so called 'mawaziri mizigo'
Diploma replacing Bachelor, hii hatariiii..............ila watu wa diploma na certificate ni watenda kazi, tatizo ni management, labda experience itamkomboa.
Jenista Mhagama amechukua nafasi ya Mulugo, je substitution hii ni super sub?
Kwa kawaida watu wa diploma/ certificate ni wachapa kazi, tatizo lao ni management ila experience huwa inawabeba.
Kiukweli J. Mhagama kazi anayo.
Wewe upo karibu na Mulugo na umeuliza hii kujua watu wanasemaje. Hakuwa mchapa kazi ndio maana katolewa full stop. Hiyo ya zim na pem... Mnaitumia tu ila wangapi kwa kabinet wameongea madudu.
Diploma ni elimu makini sana na atafanya kazi nzuri. Rais ameshafanya utafiti na kugundua kwamba utendaji wa kazi hautegemei sana idadi ya digrii, and some of degree holders have become the so called 'mawaziri mizigo'
Unafahamu population ya kanda ya ziwa? Na this time hatutajali mambo au maneno yenu ya ukabila. Hata ngereja tutampa urais wa nchi hii. Tumechoshwa na ----- wenu.
Ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaa ... Umenifurahisha kweli kwa mshangao ,dah noma sana sijui yetu macho.!
!
kumbe ana diploma tu,duh