Mulugo: Wizara kuwafanyia wanafunzi asilimia kazaa ya mtihani ili kuongenza ufahulu

Mulugo: Wizara kuwafanyia wanafunzi asilimia kazaa ya mtihani ili kuongenza ufahulu

yAHITAJI MIAKA KUMI KURUDISHA KIWANGO CHA ELIMU TZ, HIVYO SERIKALI IJIKITE ELIMU YA AWALI DARASA LA KWANZA NA LA PILI, SHULE YA MSINGI NA VITABU VIWE VYA KUFANANA TANZANIA NZIMA SIO MCHANGANYO WA SASA
 
mimi ninafikiri hawa wanania ya kuondoa kipengele cha learning and teaching evaluation sababu kama una amini mwanafunzi amefeli huku ana uwezo mzuri darasani kwa wasingetumia continous assesment ambayo hufanyika kila siku mashuleni kupima maendeleo ya mwanafunzi toka kipindi cha nyuma hadi anapohitimu kuliko hizi riwaya za kusadikika mulugo mimi ninafikiri unapaswa kuomba ushauri kabla ya kuongea kwani unajishushia hadhi kila siku 2 na ujiulize kwa nini haya yote sasa na sio miaka ya nyuma tafakari chukua hatua nawasilisha.
 
Hili yawezekana ni muujiza!!!Na hao wa 2012 waliofeli kidato cha 4 2012 atawafanya nini? Ni kweli kwamba hawakuwa na akili? Mbona kuna waliokuwa wanaongoza kwenye mitihani wanaotungiwa na Waalimu wao? Nafikiri hakuna sera inayofaa ya Elimu Tanzania;ndio maana Waziri anafikiri la kufanya kwani vilivyoko havishikiki.swali Waziri huyu alikuwa Mwalimu? Isijekuw alikuwa Fundi Bomba.Do!do! do! Iko Kazi TZ leo.
 
naona hata nikimwita kilaza haitatosha nahisi kuna neno zuri zaidi.linamfaa...anachojaribu kufanya ni utoto plus plus mwishowe kutakuwa na vilaza tupu...
 
Back
Top Bottom