Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hii hadithi ni very filthy.
Nimeiona YouTube sasa hivi.
Apparently imetokea last week.
Huyu mdada anasimulia,wamekutana na huyu jamaa tik tok,baada ya urafiki wa miezii minne wamefunga ndoa .
Sasa mara akaanza kunotice majirani wananong'ona kuhusu ndoa yao.
Halafu siku moja kaja jamaa kumtembelea mume wake,akawasikiliza wanaongea,akamsikia yule mume wake anasema "Umekuja ambapo mimi nipo hapa najitayarisha kwenda kumuona yule Bwana wangu anayetoa hela nyingi."
Yule mdada akawa shocked na haya maneno.
Halafu siku nyingine tena yule mdada anarudi kutoka matembezi,anafika nyumbani,anamkuta mume wake yupo chumbani kwao anatafumwa na jamaa mwingine.
Kwa hiyo anasema,"Basi sasa,we mume nipe talaka."
Halafu anaondoka pale anaenda kuwaelezea wazazi wake kila kitu kilichotokea.
Lakini huyu mume hataki kutoa talaka. Anasema anampenda mke wake hataki kutoka talaka.
Like I said the story is filthy.
Lakini sidhani kama ni kweli sheikh hawezi kuifanya hii ndoa iwe null and void.
Hii ni extreme case. Lakini hizi talaka na divorce huwa zinakuwa na matatizo sana.