Mume Alazimisha Kumlawiti Mkewe, Apata Aibu Kubwa

Mume Alazimisha Kumlawiti Mkewe, Apata Aibu Kubwa

tetetete!!waaalah HIZI NYUMBAA JAMANI?PAA INASTIRI MENGI SANAA...
 
Wanaume wengi sana wanafanya huo mchezo, na jina wameupa unaitwa Tigo! Mfano mzuri wanaum wa ofcn kwetu ndo discussion daily na wanaelezana kabisa how to do it. Jamani, hii kitu ni kinyume na maadili yetu ya kiafrika na zaidi maandiko yanakataza. Mungu alikuwa na makusudi yake kukiumba kila kiungo cha binadamu kwa kazi maalum. Kufanya hivyo ni kumtukana Mungu!

Mbaya zaidi makahaba wamejitosa ktk huu mchezo, so wanaume wapenda hii kitu wamekuwa wateja wazuri sana kwa makahaba na kwa kiasi kikubwa imesababisha kuvunjika kwa ndoa nyingi au uchumba kwa vile mwanamke mwenye maadili kamwe hakubali kufanyiwa hivi.


Kwa mwanaume unaesoma thread hii, kama una hii tabia, hebu badilika na kama hutaki kubadilika basi ukaifanye na makahaba na kama umeoa bora umpe mkeo talaka kumnusuru na magonjwa, then wewe endelea kukamua!OLE WAKO!MUNGU ANAKUONA!
 
Back
Top Bottom