Mume aliyejela amuagiza mkewe chakula chenye sumu ili afe lakini kilipimwa na mke kukutwa na hatia

Imetokea magomeni mikumi
Ungewasilisha kama hivi.

 
Basi huyo maza ni chizi. Iweje asijue ataambiwa aonje?
Aliaminishwa na mmewe kafanya mchongo nae tamaa ya kuspend kwa uhuru sasa ikamjaa
 
Story za kukopi hazina issue. Jela chakula huonjwa na aliyeleta kwanza kabla ya kupewa mahabusu.

Story ya kukopi uongo
Naona una tatizo la kuelewa, aliyeleta chakula chenye sumu ni mke wa jamaa akaambiwa aonje kabla mahabusu hajapelekewa akakataa.
 
Story ya kukopi twitter na kuna mwingine kabla yako amepost masaa matatu nyuma.
 

Kwanza huko jela nani alimwambia jamaa kuwa mkewe watu wanaruka nae!tuanze hapo kwanza
 
Ila hili jukwaa si la chitchat jamani?ww soma kama unasoma udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…