sina uhakika sana lakini kwa jinsi nilivyomsikia akizungumza alikuwa akitajataja sana makambako, bila shaka atakuwa from nyaluland!
Sasa ana uhakika gani kama nani kati yao atatangulia?...Hapo ndipo wazo la kumwekea mtu DIDIMAC kwenye chai linapozaliwa!...huh!
Shindwa na ulegee, kwani Makambako hakuna wakibosho? we vipi bana
Nimegundua baadhi ya wanawake hawaridhiki na ndoa zao kabisa.
Yaani mtu anapata kidumu anachanganyikiwa kama mtoto wa miaka 16
Wakati ni mwanamke wa miaka 40, hata siwaelewi.
Sasa mtu wa aina hii mumewe afe, si anaolewa kesho yake tu.
Hebu komenti bana nijue la kufanya.....Mmmh, nikikoment hapa, naweza shabngaza sana.
Ngoja nipite.
Hao mashosti waliokuwa wamekaa bar wakinywa na kula mdudu bila waume zao hapo tayari kwa mtazamo wangu sio sahihi. Unategemea nini hapo kama watapata ofa ya wanaume wengine hapo na kinywaji sio chai au supu kikishaingia kichwani vizuri na kushuka sehemu zote za mwili, kama wanalipa jamaa wanawachukua kwenda kufanya ngono kirahisi kabisa. Pombe ikishaingia kichwani changanya na uchungu wa magomvi ya nyumbani ni rahisi sana kujikuta mtu anafanya dhambi haswa ya uasherati sawa na mtu aliye na pepo mchafu. Ndoa zote inabidi ziwekwe mikononi mwa Mungu bila hivyo hakuna ndoa itakayosimama hata kama wanandoa wawe matajiri, wasomi, masikini au watu wa kawaida, waendakanisani sana, watoa sadaka sana au waimbakwaya sana.
wewe hutamani mkeo afe uoe kimada wako?
OTIS
Hebu komenti bana nijue la kufanya.....
Mwita Maranya: Utafiti nilioufanya mimi na NGO yangu isiyo ya kiserikali umebaini kuwa karibu zaidi ya 78.52% ya ndoa ni zile zinaowahusisha watu WASIOPENDANA!
Source: ODM.
Asiyenigongea like kwenye hii yuziful post, ndoa yake haitadumu.
AMEN.
sina uhakika sana lakini kwa jinsi nilivyomsikia akizungumza alikuwa akitajataja sana makambako, bila shaka atakuwa from nyaluland!
Hiyo mbona kawaida? Watu kuwa na nyumba ndogo na vidomola ndio maisha ya leo.
DL , Si nia yangu nikukosoe bali ni kuiboresha comment yako, ni hivi ,
nimenong'onezwa na wazee wa mjini kwamba katika masiku haya ya globalisation , neno "Nyumba Ndogo" limefanyiwa renovation laitwa "Nyumba Maalumu"
ni hayo tu.
Angekuwa from nyaluland angekuwa anazungumzia kuji-kill mwenyewe, so may be not.
Katika 78.52% kuna pasenti ngapi imebakia hapo kufikia 100? basi mi ndo nimo kule.Kiongozi najua umeshapukutisha zaidi ya muongo mmoja ukiwa ndani ya ndoa na mama matesha, sidhani kama kungekuwa na mawazo kama haya mngefika hapo mlipo.
btw, nimesikia kwa mbaaali kwamba wajukuu wameanza kutishia ustawi wa ndoa yako, kuwa mwangalifu sana!!
Kwa maelezo ya huyu shostito ni kwamba yeye ndiye anatunza familia, nadhani wana mtoto/watoto, anayo kazi nzuri inayomuingizia kipato cha kutosha(ofcourse alitaja mahali anapofanya kazi, ni kampuni kubwa hapa nchini).
Kinachomtatiza ni kwamba mume haonekani kumjali kabisa, haonyeshi mapenzi yoyote kwake, anahisi kama ana mwanamke mwingine.