Mume amkata masikio yote mawili Mke wake kwa madai ya kupoteza simu yake

Hao ni wakenya
Hivi wakurya mna nini nyie watu!?..ubabe sio uanaume ni upumbavu na ujinga wa kimaskini tu..kama mnajazana ujinga na dunia hii kuendeleza ubabe inatakiwa mchunguzwe vichwa vyenu..
 
Mke wake anaishi naye yeye, labda aliona hayatumii vizuri akaamua kuyakata.

Msije mkamfunga tu, maana huyo mke hatopata bwana tena.
 
kisha Magori akachukua kamba na kumning’iniza Mkewe juu ya dari na kumkata sikio la kwanza na la pili huku akimwambia sali sala yako ya mwisho nakuchinja. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Kuna kujimwambafai kusikokuwa na utukufu kwa Mungu.

Saivi anaugulia maumivu, vidonda hadi vipone anawatesa hadi wanao uguza, gharama zisizo na lazima zingetumika kununua cm nyingine mpya
 
Hakuna mtu anaeweza kumkata mtu masikio kwa sababu ya simu, mi hawa jamaa nimekaa nao huko tarime....wao na dharau ni maji na mafuta, ukimletea dharau kukuchinja sio kitu cha ajabu....inawezekana kabisa hapo tatizo lilikua kwenye majibishano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…