Mume amshtaki mkewe kwa kuzaa mtoto 'ugly'

Mume amshtaki mkewe kwa kuzaa mtoto 'ugly'

MpigaFilimbi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2008
Posts
1,169
Reaction score
187
Hii imetokea huko China, bwana mmoja baada ya kukutana na msichana mrembo aliamini akioa atapata mtoto mzuri, kumbe hakujua si kila king'aacho ni dhahabu. Mshangao ulikuja pale mke alipojifungua mtoto wa kike 'ugly' mume akasema hawezi kuwa ni wa kwake inawezekana mke wake ametembea nje ya ndoa, kwa kuwa mke wake mzuri na yeye mwenyewe ni 'handsome' hawawezi wakazalisha product kama ile. Akaamua kumshtaki mkewe, ndipo mke alikiri mbele ya sheria kuwa alifanya plastic surgery ya kama $100k hivi kujibadilisha, na inasemekana yule mtoto amechukua sura yake ya asili. Jamaa aliomba fidia na amepewa kama $120K kama fidia kwa 'false pretences' iliyosababisha yeye amuoe mwanamke.
Kwa habari zaidi soma hapa.

Hizi plastic surgery hizi....
 
Bongo tutalaumiwa kwa kuzaa watoto PASI wakati mama zao MASHALAAAH!!!!!
 
Duh,hii kiboko.Technology at work!!!!!!
 
Sasa ndo atamuacha mtoto na mkewe baada ya kupata fidia yake? Au ni kwaajili ya kujiliwaza kwa kuzalishiwa mtoto mbaya?

Sent by chescomatunda using JamiiForums
 
Chinaaa,,bidhaa feki mpaka watoto?
 
baba carolight + mama carolight =mtoto mkaa
baba super shaft + mama mchina= mtoto nyoronyoro
 
attachment.php

Jamaa mmoja amempeleka mahakamani mke wake wa ndoa huko China na kushtaki kwa kosa la kuwa mbaya wa sura na mzee. Bwana Lee Yun alimuoa Sia Susiwa akiwa binti mrembo na mbichi, lakini cha kushangaza kila mtoto aliyezaliwa alikuwa mwenye sura mbaya na isiyovutia.

Ndipo bwana Lee alipofanya uchunguzi na kugundua kuwa mke wake huko nyuma alikuwa mbaya na asiye na mvuto, mpaka alipofanya plastic surgery iliyogharimu $100,000 ya kubadili muonekano wake. Bwana Lee anadai fidia ya $500,000 kwa damage aliyosababishiwa na mkewe huyo.

Fake dadas mpooo
 
Mzee, hii ishu mbona ilikuwa kwenye media kama miaka 3 hivi back..wewe ndio unaileta leo!
 
hii habari imenichekesha sana. sipatii picha hizo sura za watt wao.
 
Back
Top Bottom