MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 187
Hii imetokea huko China, bwana mmoja baada ya kukutana na msichana mrembo aliamini akioa atapata mtoto mzuri, kumbe hakujua si kila king'aacho ni dhahabu. Mshangao ulikuja pale mke alipojifungua mtoto wa kike 'ugly' mume akasema hawezi kuwa ni wa kwake inawezekana mke wake ametembea nje ya ndoa, kwa kuwa mke wake mzuri na yeye mwenyewe ni 'handsome' hawawezi wakazalisha product kama ile. Akaamua kumshtaki mkewe, ndipo mke alikiri mbele ya sheria kuwa alifanya plastic surgery ya kama $100k hivi kujibadilisha, na inasemekana yule mtoto amechukua sura yake ya asili. Jamaa aliomba fidia na amepewa kama $120K kama fidia kwa 'false pretences' iliyosababisha yeye amuoe mwanamke.
Kwa habari zaidi soma hapa.
Hizi plastic surgery hizi....
Kwa habari zaidi soma hapa.
Hizi plastic surgery hizi....