Mume amuuwa mkewe na yeye kujinyonga chanzo kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia

Mume amuuwa mkewe na yeye kujinyonga chanzo kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia

Mwaname mwenzangu pole baba!

Vifua vyetu vimebeba mengi!vikilipuka ndio hicho hutokea kilichotokea!!

Mungu utunusuru kwakweli!

Hiyo tunaiiya "tukose wote style"
 
kumtafuta wakamkuta umbali wa kilomita mbili akiwa amefariki na baada ya kuangaza wakakuta kopo la sumu ambalo imesadikika alikunywa sumu hiyo mpaka kupoteza maisha.
Hivi kufa kwa kunywa sumu nayo ni kujinyonga?
 
Ndio Ulimwengu Huu na Hakuna namna,,kila mmoja na changamoto zake.
 
Back
Top Bottom