R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 1,472 Reaction score 2,766 Oct 4, 2024 #21 Mwaname mwenzangu pole baba! Vifua vyetu vimebeba mengi!vikilipuka ndio hicho hutokea kilichotokea!! Mungu utunusuru kwakweli! Hiyo tunaiiya "tukose wote style"
Mwaname mwenzangu pole baba! Vifua vyetu vimebeba mengi!vikilipuka ndio hicho hutokea kilichotokea!! Mungu utunusuru kwakweli! Hiyo tunaiiya "tukose wote style"
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Oct 4, 2024 #22 USSR said: kumtafuta wakamkuta umbali wa kilomita mbili akiwa amefariki na baada ya kuangaza wakakuta kopo la sumu ambalo imesadikika alikunywa sumu hiyo mpaka kupoteza maisha. Click to expand... Hivi kufa kwa kunywa sumu nayo ni kujinyonga?
USSR said: kumtafuta wakamkuta umbali wa kilomita mbili akiwa amefariki na baada ya kuangaza wakakuta kopo la sumu ambalo imesadikika alikunywa sumu hiyo mpaka kupoteza maisha. Click to expand... Hivi kufa kwa kunywa sumu nayo ni kujinyonga?
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,644 Reaction score 4,315 Oct 5, 2024 #23 Sakasaka Mao said: Mambo ya ujenzi hayo. Katika ujenzi ukiishapaua boma, mfano ukishaezeka bati, hubakia uwazi kati ya boma na paa. Ujenzi wa uwazi huo huitwa kuziba ama kujenga matungilizi. Click to expand... Anhaaa, ahsante
Sakasaka Mao said: Mambo ya ujenzi hayo. Katika ujenzi ukiishapaua boma, mfano ukishaezeka bati, hubakia uwazi kati ya boma na paa. Ujenzi wa uwazi huo huitwa kuziba ama kujenga matungilizi. Click to expand... Anhaaa, ahsante
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Oct 5, 2024 #24 R.I.P
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Oct 5, 2024 #25 Ndio Ulimwengu Huu na Hakuna namna,,kila mmoja na changamoto zake.