Mume ana wivu

ROSE 1980 hako kdemu kanakokonyeza kananitia wazimu bwana aidha kondoe au ukanipe
 


yaani aje huku wakati huko anapokea salary mara 7 na aliyokuwa napokea bongo....na aoe, mwanaume kama huyu ni ngumu kum handle, hata akirudi bongo anaweza kuambiwa pia aache kazi akae nyumbani, ikitokea akaoa bac ajue mwanaume hayupo serious na maisha huyo....

 

Hapa kuna ukweli. Nitawasiilsha
 

Ngoja ni PM Salary yake
 
Labda bibie toka huku home alikuwa si mtulivu....jamaa shurti ashikwe na wasiwasi...na wewe mtoa hoja u jinsia gani? Me au Ke?
 

Lakini kumbuka kuwa sio wanawake wote wanaofikiria kama wewe... huyu mama inaonekana ataacha kazi huko kwa ajili ya mume... hana moyo kama wa kwako, still akirudi ataanza kuhangaika kutafutia watoto hela ya kula, shule nk, nina mfano hai kabisa mpendwa wangu.... mpaka huyu dada apate some senses kwenye kichwa chake atakuwa ame-suffer seriously... either achague mawili, mapenzi ya kimwili ya mume (maana asidanganyike kuwa mume ana lengo zuri nae), au familia yake (which is watoto wake)... akitaka mume arudi, akitaka kujenga future ya watoto wake basi aendelee na kazi yake, na akomae kichwa
 
Huyu dada bwana anatakiwa awe na msimamo mara nyingi watu wenye wivu sana ndo wazinzi wakubwa wanadhani wanayofanya wao ndo na wenzao wanafanya.
Duh swala la kuacha kazi inabidi kwanza aangalie hali ya home kwake na mmewe inakuwaje la sivyo atakosa hata thumuni ya kununua lotion.
 
Yaleyale??????????????????????????????????????????????????/

yapi? mie cwezi kuacha kazi yangu coz ya mwanaume wakati nina mama anaenitegemea, nina ndugu wananitegemea, kwa wiki napata cmu za kunitosha kwenye familia kuna hili na lil na linahitaji uvumbuzi wangu, nina watoto ninatamani niwape hiki na kile, niwafanyie hiki na kile, bado mie mwenyewe nataka niwe hivi na vile, nifanye hiki na kile, pesa ya mtu 1 itanitatulia yote hayo na bado ya yeye anategemewa na kwao? na kwa huyu mdada coz yeye analeta pesa ya chakula mezni kwanini aache kazi kisa mwanaume?
 

unaanza kupaka shanti kwa kujitakia, maisha yenyewe yalivyo magumu bado tena uwe tegemezi, otee ndao, nina cent yangu mfukoni najickia kwenda kula njiwa carnivore naenda, watoto wangu wapo likizo najickia kuwapa raha ya namna yoyote ile nawapa ya kutosha nafanya hiki na kile kwa jasho langu, mambo ya kuanza kugombana cjui umeniaachia hela haitoshi nitapikaje mboga bila nazi yameshapitwa na wakati....matatizo mengine maishani ni ya kujitakia kwa kuendekeza mambo.
 
alikuwa wakubaliane tokea mwanzo kuwa kwa kiwango chake mume cha wivu asingeweza kwenda huko kutafuta kazi.........

hapo ni kutimiza mkataba tu wa watu ..................mume atajifunza kuwa na uamuzi wa kueleweka mapema
 
Mwambie achague moja kazi au mwanaume full stop.

Na akili za kuambiwa lazima achanganye na zake.
 
alikuwa wakubaliane tokea mwanzo kuwa kwa kiwango chake mume cha wivu asingeweza kwenda huko kutafuta kazi.........

hapo ni kutimiza mkataba tu wa watu ..................mume atajifunza kuwa na uamuzi wa kueleweka mapema

Aliniambia walikubaliana na jamaa alivyokuja kumtembelea alikuja mpaka ofisini na akasema amekuja kuona mkewe yuko sehemu na alimruhusu na kumsaidia kuja huku hata airport alimpeleka mwenyewe. Sasa anashangaa mambo yamegeuka ghafla
 

hicho mie ndio kinanikera, na hapo mwanaume akishakuona upo upo tu hapo home kama nyanya za nyongeza tegemea kuona filamu kibao kutoka kwake.....nimegoma mie, pressure zakujitakia hazina nafac kwangu.
 

Hiyo ndoa itakuwa ya kwa mkuu wa wilaya ila kama wote ni wacha mungu nakumbuka siku ya kufurahisha wapambe na marafiki mliongoe kuwa Utamuacha baba na mama yako na wote mtakuwa mwili mmoja au wewe uliolewaje mwenzangu hukusema hayo?au ulikuwa unafurahisha nafsi yako na hayakutoka moyoni mwako?na kumbuka maandiko yanasema enyi wanawake watiiini waume zenu na enyi wanaume wapendeni wake zenu sasa wewe kama mkristu na unayehudhuria kanisani kila jumapili unalijua hilo au unasoma biblia au kitabu cha maandiko tatakifu kama novel?
Nisaidie inawezekana sijaelemika kwenye masuala mazima ya kujenga familia iliyo bora na yenye furaha na upendo wa dhati labda napapasa tu nisamehe sijenda shule sanaa nimesoma sunday school mno na madras
 
Sina raha, sina raha eheee naumia na mawazo
Sina raha, sina raha eheee naumia na mawazo
Kama unipendi mimi spiendi si bora kunizingua
Gari pesa sina ndio maana nakuita mchumba
 
Achague ndoa au kazi, na kama mwanaume ana uwezo basi arudi tuu mimi hapo kinacholekea mbeleni naiona infi ileeeee iko mtaa wa pili yaja
 
kweli nyamayao, huyu dada anatakiwa awe mgumu aweze kufanya maamuzi ya busara. nafikiri hawa ndio wale wa kuishia ICU cku akijua hayuko mwenyewe kuna mawife wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…