mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
ROSE 1980 hako kdemu kanakokonyeza kananitia wazimu bwana aidha kondoe au ukanipe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dena hili ni tatizo kubwa sana... huyo dada atapata tabu sana aisee... Anaweza kuamua kukaa huko amalize mkataba wake akakuta mume ameoa mke mwingine kwa inferiority complex yake "atadai... Anamkomoa"... Bora aje afanye kazi huku aangalie familia yake.
mie bwana mwanaume hanifanyi nikaacha kazi yangu, nimetokea huko mie, mr kulazimishwa na mama yake anishinikize niache kazi, maamuzi yangu yalikuwa kwamba kazi ctaacha sasa yeye ndio aamua afanyaje, dunia ya leo uache kazi ukae nyumbani kuomba mpaka hela ya pedi....haiwezekani...ali surrender mwenyewe akaona wife hamnazo, lakini nilikuwa tayari kwa lolote sio kuacha kazi yangu...khaa
yaani aje huku wakati huko anapokea salary mara 7 na aliyokuwa napokea bongo....na aoe, mwanaume kama huyu ni ngumu kum handle, hata akirudi bongo anaweza kuambiwa pia aache kazi akae nyumbani, ikitokea akaoa bac ajue mwanaume hayupo serious na maisha huyo....
[/COLOR]
yaani aje huku wakati huko anapokea salary mara 7 na aliyokuwa napokea bongo....na aoe, mwanaume kama huyu ni ngumu kum handle, hata akirudi bongo anaweza kuambiwa pia aache kazi akae nyumbani, ikitokea akaoa bac ajue mwanaume hayupo serious na maisha huyo....
[/COLOR]
Yaleyale??????????????????????????????????????????????????/
Huyu dada bwana anatakiwa awe na msimamo mara nyingi watu wenye wivu sana ndo wazinzi wakubwa wanadhani wanayofanya wao ndo na wenzao wanafanya.
Duh swala la kuacha kazi inabidi kwanza aangalie hali ya home kwake na mmewe inakuwaje la sivyo atakosa hata thumuni ya kununua lotion.
Ningesema ndiyo...ila siku hizi ban nje nje....
alikuwa wakubaliane tokea mwanzo kuwa kwa kiwango chake mume cha wivu asingeweza kwenda huko kutafuta kazi.........
hapo ni kutimiza mkataba tu wa watu ..................mume atajifunza kuwa na uamuzi wa kueleweka mapema
Lakini kumbuka kuwa sio wanawake wote wanaofikiria kama wewe... huyu mama inaonekana ataacha kazi huko kwa ajili ya mume... hana moyo kama wa kwako, still akirudi ataanza kuhangaika kutafutia watoto hela ya kula, shule nk, nina mfano hai kabisa mpendwa wangu.... mpaka huyu dada apate some senses kwenye kichwa chake atakuwa ame-suffer seriously... either achague mawili, mapenzi ya kimwili ya mume (maana asidanganyike kuwa mume ana lengo zuri nae), au familia yake (which is watoto wake)... akitaka mume arudi, akitaka kujenga future ya watoto wake basi aendelee na kazi yake, na akomae kichwa
yapi? mie cwezi kuacha kazi yangu coz ya mwanaume wakati nina mama anaenitegemea, nina ndugu wananitegemea, kwa wiki napata cmu za kunitosha kwenye familia kuna hili na lil na linahitaji uvumbuzi wangu, nina watoto ninatamani niwape hiki na kile, niwafanyie hiki na kile, bado mie mwenyewe nataka niwe hivi na vile, nifanye hiki na kile, pesa ya mtu 1 itanitatulia yote hayo na bado ya yeye anategemewa na kwao? na kwa huyu mdada coz yeye analeta pesa ya chakula mezni kwanini aache kazi kisa mwanaume?
kweli nyamayao, huyu dada anatakiwa awe mgumu aweze kufanya maamuzi ya busara. nafikiri hawa ndio wale wa kuishia ICU cku akijua hayuko mwenyewe kuna mawife wengine!mie bwana mwanaume hanifanyi nikaacha kazi yangu, nimetokea huko mie, mr kulazimishwa na mama yake anishinikize niache kazi, maamuzi yangu yalikuwa kwamba kazi ctaacha sasa yeye ndio aamua afanyaje, dunia ya leo uache kazi ukae nyumbani kuomba mpaka hela ya pedi....haiwezekani...ali surrender mwenyewe akaona wife hamnazo, lakini nilikuwa tayari kwa lolote sio kuacha kazi yangu...khaa