Mume ana wivu


akili unazo! hivi huyu mama akiacha kazi arudi kuangaliana na mumewe alafu ndio maisha yaweje? alafu shida ya mume ni kutojiamini tu pesa anaitaka mke anamtaka!
 
Sasa kumbe mnazungumzia gubu si ndio? Manake kuna wivu na kuna gubu!

Mi sioni tatizo la wivu! Mi nna wivu kwa mke wangu, na sitaki mtu anishauri niwe tofauti na wivu huo.

nimekupata....bac huyu ana gubu!
 
Good comment!nadhani hapa Rose ulikuwa tayari umeshiba chai na viazi vyako vitamu vya kukaanga!
haa sana tu .
nasasa nataka kwenda kupika mlenda bamia na kaugali kdg ahhh
karibu!!
 
That explains everything... Mwanaume anajisikia inferior... na hilo tatizo ni kubwa sana, sijui atasaidiwaje... ila kwa ufupi ni kwamba, dada aache kazi arudi TZ akae na mume wake...

Askofu thus the point kny red,mwanaume kuwa inferior ni tatizo sana na lazma mwanamke apate shida kama anayoipata huyu dada wa watu, na huwa mara nyingi wanaume wa namna hii siyo understanding hata kidogo, Otherwise huyu dada arudi tu akalinde ndoa yake maana huyo ndo mumewe.
 
kweli mapenzi kizunguzungu,kwa jinsi ulivyoongea inaonyesha miaka mitatu ni mingi sana kwa huyo dada,ila hata akirudi nyumbani sioni kama kutakuwa na amani.mtu aliyezoea kuwa busy akaache kazi watajikuta wanaishia ktk mizozo tu.baba alitakiwa ajikaze ampe support mkewe lkn hajaweza.
 
Sasa kumbe mnazungumzia gubu si ndio? Manake kuna wivu na kuna gubu!

Mi sioni tatizo la wivu! Mi nna wivu kwa mke wangu, na sitaki mtu anishauri niwe tofauti na wivu huo.

Very good.....signs za kuachana na infidelity!!
 
akili unazo! hivi huyu mama akiacha kazi arudi kuangaliana na mumewe alafu ndio maisha yaweje? alafu shida ya mume ni kutojiamini tu pesa anaitaka mke anamtaka!

Kwani aliolewa kwa ajili ya kutafuta/kufanya kazi?

Arudi kwa mmewe ampe kile alichoapa kumpa! Kile ambacho hawezi kumpa baba yake wala kaka zake. Kile alichoapa atampa mme wake peke yake! sasa kama anahangaika na mikazi huko, mme wake atakipata wapi kitu alichopewa kwa baraka zote za wazazi, Mungu na mihuri na vyeti vya Serikali Ya Jamhuri Ya Muungano Mtukufu Wa Tanzania?

Hebu acheni masihara....Wagaieni waume zenu hiyo kitu...NI MALI ZAO HALALI!
 
Sasa kumbe mnazungumzia gubu si ndio? Manake kuna wivu na kuna gubu!

Mi sioni tatizo la wivu! Mi nna wivu kwa mke wangu, na sitaki mtu anishauri niwe tofauti na wivu huo.

Hapo pa msingi sana unishauri kuhusu wivu juu ya mke wangu NOP.
 

You got it right Lady the Wise!:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:

Ukizingatia ni yeye mwenyewe aliapa kuwa atamgaia mumewe hicho kikojoleo katika shida na raha! Sasa yeye anaona hela ni dili kuliko kikojoleo cha mmewe?:A S 103::A S 103::A S 103:
 
Naona wengi wanachangia wakiwa na emotions, jamani tatizo hapa sio mwanamke kuacha kazi kwani tulizaliwa tunafanya kazi? Tatizo hapa ni kulinda ndoa yake isikumbwe na INFIDELITY ni bora arudi aokoe ndoa yake KAZI NA MUME kipi bora at this stage? Tusichukulie kazi yake kama kigezo halafu tukaanza kulalamika kuwa mwanaume ana wivu YES ana wivu sababu ni mkewe hata ingekuwa ni mimi i would be the same.
 
Well said kijana...Utanidai Al-Batar mmoja jike pale osheniki.... Halafu tukipiga infidelity wanapiga kelele.

Kamata hii kwanza!



The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:

Asprin (Today)



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…