Mom
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 708
- 31
Hiyo ndoa itakuwa ya kwa mkuu wa wilaya ila kama wote ni wacha mungu nakumbuka siku ya kufurahisha wapambe na marafiki mliongoe kuwa Utamuacha baba na mama yako na wote mtakuwa mwili mmoja au wewe uliolewaje mwenzangu hukusema hayo?au ulikuwa unafurahisha nafsi yako na hayakutoka moyoni mwako?na kumbuka maandiko yanasema enyi wanawake watiiini waume zenu na enyi wanaume wapendeni wake zenu sasa wewe kama mkristu na unayehudhuria kanisani kila jumapili unalijua hilo au unasoma biblia au kitabu cha maandiko tatakifu kama novel?
Nisaidie inawezekana sijaelemika kwenye masuala mazima ya kujenga familia iliyo bora na yenye furaha na upendo wa dhati labda napapasa tu nisamehe sijenda shule sanaa nimesoma sunday school mno na madras
akili unazo! hivi huyu mama akiacha kazi arudi kuangaliana na mumewe alafu ndio maisha yaweje? alafu shida ya mume ni kutojiamini tu pesa anaitaka mke anamtaka!