You got it right Lady the Wise!:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
Ukizingatia ni yeye mwenyewe aliapa kuwa atamgaia mumewe hicho kikojoleo katika shida na raha! Sasa yeye anaona hela ni dili kuliko kikojoleo cha mmewe?:A S 103::A S 103::A S 103:
Kuna dada tunafanya nae kazi huku nje ya Tanzania, kaolewa mumewe yupo Dar ndoa yako ina miaka mitano, toka tumekuja huku jamaa anagombana na mkewe kila kukicha tangu mwezi wa 5 tuko huku huyu dada hana raha kabisa mumewe kila akipiga simu akisikia tu sauti hata ya gari ataanza kuuliza hapo uko wapi hujafika nyumbani na amesahau kuwa huku tunatumia usafiri wa public. Mbaya zaidi amemkasirikia toka ijumaa hajaongea na yeye huyu dada hata kazi inamshinda analia tu kila mara. Amefikia kusema kuwa anataka kurudi maana hali imefika pabaya. Na mkataba tulipewa three years? Je? Aache kazi arudi Dar ama afanyeje mie nimeshindwa kumshauri maana ukiongea nae tu analia nikaona niilete hapa tumshauri. Tafadhali nisaidieni najua humu nitapata jibu
Naona wengi wanachangia wakiwa na emotions, jamani tatizo hapa sio mwanamke kuacha kazi kwani tulizaliwa tunafanya kazi? Tatizo hapa ni kulinda ndoa yake isikumbwe na INFIDELITY ni bora arudi aokoe ndoa yake KAZI NA MUME kipi bora at this stage? Tusichukulie kazi yake kama kigezo halafu tukaanza kulalamika kuwa mwanaume ana wivu YES ana wivu sababu ni mkewe hata ingekuwa ni mimi i would be the same.
Well said kijana...Utanidai Al-Batar mmoja jike pale osheniki.... Halafu tukipiga infidelity wanapiga kelele.
Kamata hii kwanza!
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:
Asprin (Today)
Kwani aliolewa kwa ajili ya kutafuta/kufanya kazi?
Arudi kwa mmewe ampe kile alichoapa kumpa! Kile ambacho hawezi kumpa baba yake wala kaka zake. Kile alichoapa atampa mme wake peke yake! sasa kama anahangaika na mikazi huko, mme wake atakipata wapi kitu alichopewa kwa baraka zote za wazazi, Mungu na mihuri na vyeti vya Serikali Ya Jamhuri Ya Muungano Mtukufu Wa Tanzania?
Hebu acheni masihara....Wagaieni waume zenu hiyo kitu...NI MALI ZAO HALALI!
You got it right Lady the Wise!:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
Ukizingatia ni yeye mwenyewe aliapa kuwa atamgaia mumewe hicho kikojoleo katika shida na raha! Sasa yeye anaona hela ni dili kuliko kikojoleo cha mmewe?:A S 103::A S 103::A S 103:
Mshiki habari yako banaaa:A S 103::A S 103::A S 103:
ndoa ni zaidi ya hiyo, ingekuwa kuduu kunaleta chakula mezani bac hakuna ambae angehangaika.
You will call me by my name Finest....YOU HAVE BEEN WARNED:mad2:
ndoa ni zaidi ya hiyo, ingekuwa kuduu kunaleta chakula mezani bac hakuna ambae angehangaika.
kaz kuuuuubwa
bora arud b4 ajaharibu kaz ya watu
mwambie aache kuwa mlaini kias icho yan kweli kwenye kitu cha maendeleo km icho washndwa kumconvnce mumeo akakuelewa?lakn i inatokana na mambo meeeng ikiwemo ya kutojengeana uaminifu tangu mwanzon ndo matokeo yake haya....kila dk unazan mkeo /mumeo anadinya....
...aongee na mume wake amtafutie kaz kabsa then arudi afanye uku manake asje akarud akaanza kukuna naz tu
..aangalie nini kinamata kwake NI FAMILY O CAREER?
MANAKE UNAWEZA KAA UKO UKARUDI NA MAHELA TEEEELE NA UKAKUTA FAMILIA IMEBOMOKA NA UKAJUTA MAISHA ..aangalie nini yeye ataka..ela znatafutwa familia iliyopotea kuitafuta tena haiwezekani ...
Yeah....slowly woote watahamia chama chetu!!
Sawa ndoa ni zaidi ya hayo...Tukifuata priority? Priority kubwa ya ndoa ni kupeana vikojoleo...PERIOD!
Otherwise ningemuoa dada yangu ambaye nampenda sana ukilinganisha na navompenda mke wangu.
Vitendeeni haki Vikojoleo vyenu kwenye ndoa zenu tafazali! Laiti vingekuwa na mdomo wa kuvisemea....!
Hii ingetokea kwa mwanamke (amfanyie wivu wa hivi mumewe) nina uhakika kabisa mjadala usingekuwa na mwelekeo huu. Hivi mnafikiri na nyie mnaposafiri sisi huwa tuna miili na mioyo ya chuma? Hatuwamiss kama nyie mnavyotumiss? Eti miezi mitano mke yuko mbali. As if hata angekuwa karibu mnaridhika na kutochovya nje!!Halafu ukizingatia wife wa jamaa tokea mwezi wa tano yuko nje ya bongo na huu ni mwezi wa kumi hapo biolojia ya jamaa si inaweza kuota kutu ikawa matatizo ikashindwa kufunction properly
Usisahau kuwa hapo kny red bila amani hapana issue, hapo ilibidi tu avumilie kwa sababu naamini mpaka huyo dada anapply hiyo kazi alimshirikisha mumewe,vp wewe Asprin wat if angekuwa wifi ndo ungekuwa hivyo?
Umenena vema Rose .
Ila ni vema kujua zaidi je huyo Dada na mumewe walikuwa na maisha ya amani hata alipokuwa nyumbani? Kabla hajasafiri? Usijekuta huyu ni mmoja wa wale wanaume wanaopenda kuabuse hakuna jema atakalofanya mke yeye akalifurahia. Na inavyoelekea mume ameshajua udhaifu wa mkewe .... wewe jitu likanune tu si linajua likinuna wewe utateseka!!
Hivi mtu unaweza kukaa aka 3 bila kumega au kumegwa (katika muktadha wa kuwa huru na siyo kizuizini wala kufungoni na mwenye afya nzuri kabisa)?
Something is missing here....
Huyu dada halalamikii kwamba mmewe ana-infidelise, infact angepanda a-infidelise ili aache kumsumbua na simu...
The whole concept here is the guy married a wrong version of wife!