WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Hizo rules naskia King anazifanyia marekebisho huko aliko kwa hiyo tarajia lolote, naamini hiyo risiti ni ile uliyonunulia kitabu cha "HOW TO OVERCOME INFIDELITY"Hebu kasome rules za chama chetu vizuri. ... Ile kitu hatufanyi usiku kucha. Usiku tunakuwa na vikojoleo vyetu halali baada ya kupiga tizi na kina Elizaz na nyie memba wenzetu. hebu angalia PM yako, nimekutumia risiti yako.
LONG LIVE ISC!