Mume ana wivu

Hebu kasome rules za chama chetu vizuri. ... Ile kitu hatufanyi usiku kucha. Usiku tunakuwa na vikojoleo vyetu halali baada ya kupiga tizi na kina Elizaz na nyie memba wenzetu. hebu angalia PM yako, nimekutumia risiti yako.

LONG LIVE ISC!
Hizo rules naskia King anazifanyia marekebisho huko aliko kwa hiyo tarajia lolote, naamini hiyo risiti ni ile uliyonunulia kitabu cha "HOW TO OVERCOME INFIDELITY"
 
On the same road and same highway, babu yako naye huyu bwana mwishowe atanipotezea dira kila ninapokufuata naye yuko nyuma yangu
Ah Babu anataka nimalize mwaka wa kwanza kazini kwanza ndo nianze..........lol. Kama kweli umedhamiria, utavumilia!!
 
Mjukuu remember our aggreement regarding this? Ukirudia tena nakubwenga makwenzi!:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:😛ainkiller:
 
Ndio Maana kaka nikauliza muwe specific mnazungumzia nini!!

Nimekusoma. Sasa ni hivi, wewe MwanajamiiOne unaweza kukaa miaka mitatu bila kumegwa? Na kama unaweza, pale upatapo hamu hufanya nini? Unajichezea mwenyewe hadi kujifikisha kunako? Na kama unajichezea mwenyewe unatumia zana bandia ama zana halisi i.e. vidole? Natumaini nimekuwa mahsusi vya kutosha....
 
Hivi mtu unaweza kukaa aka 3 bila kumega au kumegwa (katika muktadha wa kuwa huru na siyo kizuizini wala kufungoni na mwenye afya nzuri kabisa)?

NN hujaelewa jamaa kashakuja mara kibao huku na hata huyu dada kashaenda mara nne dar
 
Nyani usipate shida mbona watu wanakaa hata miaka mitano? sembuse mitatu? SEx is ALL IN YOUR BRAIN. Ukikifikiria sana unaamsha ashki.

Isitoshe kwa watu wa zamani mbona kuna njia nyingi tu za kuzuia au kupunguza mihemko jamani? Mazoezi ikiwa mojawapo au mwenzetu huamini katika hilo?
 

Kumbe hautanipa shida nimekuelewa
 

The one who loves the least, controls the relationship.
 
haya mambo ya mapenzi na wivu mara nyingi wahusika wenyewe ndio wanajuana maana unaweza kukuta huyo mdada ameshakamatwa mara nyingi akitoka nje ya ndoa au akisafiri watu uwa wanapiga magemu ya nje ndio maana mme wake anakosa amani, mara nyingi kama unataka kujugde kesi za mahusiano sikiliza pande zote mbili unaweza kusikia mengi sana na mazito kuliko ukisikiliza upande mmoja na kuhukumu ndio maana hata kwa mjumbe kama kuna mashitaka mwanandoa amepeleka lazima waitwe wote na wajieleze pale ili kupata ukweli wa pande zote

unaweza hapa ukaambiwa mume ana wivu wa kupindukia kumbe jamaa anavumilia mengi ya mkewe ndio maana anajaribu kumchunga ili ndoa yap iendelee, mfano mtu anakwambia mkeo anatembea na bosi wake na ikatokea kuna safari wanaenda mkeo na bosi wake say ni nje ya nchi kwa mwezi mzima hapo lazima mtu achanganyikiwe ndio maana unakuta vitu kama hivi vinatokea ila vinakua na story kubwa sana nyuma ya pazia ambayo mtu wa tatu huwezi kuijua
 
NN hujaelewa jamaa kashakuja mara kibao huku na hata huyu dada kashaenda mara nne dar
Kwa hiyo hapa ishu siyo kumega au kumegwa, huyo jamaa wivu ndio mnasumbua. Huyo dada asirudi atajiharibia maisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…