Mume anahitajika 36+

Sijawahi kuoa timu zinaanza kucheza mechi halafu timu moja tayari inaongoza 2-0
Huwa inatokea kama mechi ni home and away hiyo ni aggregate which means mech ya kwanza ulipoteza 2 bila so haya ni marudiano
 
Yote hayo yanakutokea wapi?
 
Mh yaan comment zingine zinakatish tamaa sana...kuwa na subira dear utampata mtakayeendana nae...subira ni ibada
 
Dada yangu nakuja pm very soon ninavigezo karibia vyote usipokuwa umri but nipokee kwanza then tutakubaliana au laa
 
Wazazi kutengana kunasababisha matatizo ya kisaikolojia kwenye malezi na makuzi ya watoto.
Athari hizi ni kubwa sana, watoto wanahitaji uwepo wa wazazi wote katika ukuaji wao.

Mtafute mzazi mwenzio, maliza tofauti mlee watoto wenu katika misingi bora.
Hakuna maisha ya ndoa ambayo hayana migogoro. Hata huyo utakayempata unawezakuta ni yaleyale ama zaidi.
Shida/matatizo hayamalizwi kwa kukimbia.
 
Haiwezekan tena kuwa nae,,long story
 
Hii Astaravista, inaonyesha jinsia yako sio Ke ! [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…